Mkuu is your reasoning from Guns, Germs and Steel au the Wealth of Nations? Swala la kua environment yetu imesababisha tubweteke mimi sikubaliani nalo. Infact mimi naamini ingebidi tupige hatua zaidi kuliko hao waliokua na limited resources.
I am as proud an African as any African can be LAKINI lazma tukubali these people are more intelligent than us as a whole. Yani kwa ujumla wao wana akili kuliko sisi. Kukataa hilo ni kujidanganya.
Hapa napoishi huwa najiuliza kila nikirudi home. Mtaa wangu ni mrefu una nyumba 19, ukipita nje ya hizi nyumba unajua ipi ya mzungu, ipi ya mswahili msomi na ipi ya mwenzangu na mimi. Just fromappearance.....
Ntaendelea baadae, it's an intersting topic
Mkuu akili ni kama muscles (misuli) ukifanya mazoezi sana na yenyewe inakuwa.., hivyo basi ubongo wa binadamu wote ni sawa (ingawa kuna tofauti kati ya wanawake na wanaume katika upande upi wa ubongo wanaoutumia zaidi kuliko mwingine) lakini hakuna tofauti katika rangi ya mtu na ubongo wa mtu..
Hivyo basi kutokana na shida, malezi na tunavyokua katika mazingira tofauti kuna uhusiano mkubwa na fikra zetu, na lazima ujue kwamba unapopata shida inabidi ufikilie zaidi jinsi ya kutatua shida fulani hivyo kutumia ubongo wako zaidi.., ukikulia kwenye baridi kali utapiga akili jinsi gani unaweza kupata joto (alafu kumbuka uvumbuzi mwingi ulifanyika miaka ya zamani kwa watu kupambana na mazingira yao).., vile vile tunaweza tukasema watu wa Egypt na Pyramids, umwagiliaji, kuandika n.k. hawa watu walikuwa na akili sana, kutokana na kupambana na mazingira (problems makes you find solutions..)
Utakuta kwamba sisi tangia enzi na enzi vyakula vinajiotea kwahiyo mtu unaishi tu hakuna sababu ya kusumbua kichwa; pili kutokana na malezi utakuta kwamba ndivyo na watoto wanavyokua (sio accident kwamba wahindi wengi au wachagga ni wafanyabiashara, au wamasai ni walinzi.., ni kwamba ndivyo wanavyokua na malezi yao yanawafanya wawe hivyo..)
Culture / utamaduni.. (the way we do things) inachangia sana katika maisha ya kila siku ya jamii..., hivyo basi jamii kama ni wavivu, wachafu na mna fikra za kichawi ni vigumu sana kubadilika na kama mkianza kubadilika inachukua muda mrefu sana (sio kwamba akili zenu hazina uwezo wa kubadilika bali ni kwamba hamtumii akili zenu ipasavyo..)
Hata hao wazungu (mfano UK) walikuwa Great miaka hiyo ya huko nyuma hivi sasa kutokana na malezi ya ajabu ya watoto wengi UK wengi wana akili za ajabu na wanaanza kubweteka na kuwa wavivu watu wa Great Britain wa kipindi cha kina Faraday na Isack Newton ni tofauti kabisa na uchafu uliopo sasa Great Britain.., hii inaonyesha kwamba environment inachangia sana (ingawa wenzetu bado wanazo opportunity za kuelimika kama wanataka.) Tena utashangaa unaweza kwenda nje ukawakimbiza sana baadhi ya hao so called intelligent (sababu wamezoea spoon feeding) ingawa kutokana na elimu yao ilivyo na wanavyofundishwa kwenye reasoning ndio wanaweza wakakuacha kidogo