Kuna rafiki yangu aliolewa na mzungu, alimuopoa mzungu toka kwa mdada mmoja wa kiafrica nchi jirani huko, kweli tuliona kapata bwana wa maisha maana alisema wazungu hawana mambo ya michepuko.Hata miaka haijaisha mitano kamuacha best yetu yupo na mchepuko mwingine wa Africa.
Tena huo mchepuko ulishafanya hadi movie za X ukienda Utube zipo kibao, wakwe wametumiwa picha na hyo mdada alieachwa za X na za huyo hawara wa mume wamesema haina shida, wamempenda mkwe mpya amuache tu mtoto wao.
Sasa najiuliza hawa wazungu vipi? Wanatuchukuliaje sisi waafrica? Kuna mapenzi kweli? Nasikia wazungu wanatumia waafrica vibaya sana.