Wazungu kumbe nao wana michepuko

Wazungu kumbe nao wana michepuko

Sijaiona mwaya. Ila mzungu kanishangaza, angekuwa mwanaume wa Kiafrika ndo kafanya hivyo mbona angekoma; angeambiwa tabia za kitandale, mswahili blah blah blah. Sasa mzungu ni wa uswazi au mwafrika? Kweli tabia haina rangi
nenda jukwaa la wakubwa hapa jf ipo nimeshangaa yaani
ni vile watu wana hasira na bi mkubwa ila na mzungu wake alikuwa anatuoneshea yupo class kumbe yupo so cheap yaani
 
Sijaiona mwaya. Ila mzungu kanishangaza, angekuwa mwanaume wa Kiafrika ndo kafanya hivyo mbona angekoma; angeambiwa tabia za kitandale, mswahili blah blah blah. Sasa mzungu ni wa uswazi au mwafrika? Kweli tabia haina rangi
Alimletea mwenyewe mzungu nyumbani na dada amekomesha matusi aliyotukanwa ameamua kumfanyia kweli. Jamani mimi ninaonea huruma wale watoto.
 
It's a shame that in this day and age there are still people out there who buy into these nonsensical-already debunked stereotypes.

Infidelity is a problem in every stratum of society and you don't even need a high school diploma to know that.
 
Daah hapana mzungu kacheza kama wa tandale vile mwee. Yule ashadata ila angenyimwa custody ya wale watoto ndo angekufwaaaa. Chochote anachofanya kina impact kubwa sana kwa wanawe, sasa hivi na baadaye
 
It's a shame that in this day and age there are still people out there who buy into these nonsensical-already debunked stereotypes.

Infidelity is a problem in every stratum of society and you don't even need a high school diploma to know that.
hata uongee kichina
 
Lady JD alisemaga kuwa Mange Kimambi wazungu wamemharibu, ukikaa nae anajamba sana. Jamani msigombane na kila mtu duniani.
kuna dada aliolewa uk mzungu alikuwa anakuja na marafiki zake anasex nao wote mbele nyuma wazungu wabaya sanaeti
 
Back
Top Bottom