Wazungu kumbe nao wana michepuko

Wazungu kumbe nao wana michepuko

Kuna rafiki yangu aliolewa na mzungu, alimuopoa mzungu toka kwa mdada mmoja wa kiafrica nchi jirani huko, kweli tuliona kapata bwana wa maisha maana alisema wazungu hawana mambo ya michepuko.Hata miaka haijaisha mitano kamuacha best yetu yupo na mchepuko mwingine wa Africa.

Tena huo mchepuko ulishafanya hadi movie za X ukienda Utube zipo kibao, wakwe wametumiwa picha na hyo mdada alieachwa za X na za huyo hawara wa mume wamesema haina shida, wamempenda mkwe mpya amuache tu mtoto wao.

Sasa najiuliza hawa wazungu vipi? Wanatuchukuliaje sisi waafrica? Kuna mapenzi kweli? Nasikia wazungu wanatumia waafrica vibaya sana.
Huyo rafiki yako mfa maji tu, kwanza yeye kaiba bwana/hawala/mume wa mwenzake kutoka kwa Huyo "dada wa kiafrika toka nchi jirani" kama ulivyoandika sasa na yeye akinyanganywa(mwingine akiopoa kama yeye alivyo opoa kuna ubaya gani)

Anapotuma picha za x za mwenzake kwa wakwe za mzungu anajaribu ku prove nini? Kwamba yeye ni innocent? au ni ku prove tu Kwamba mzungu karuka mkojo na kukanyaga kinyesi! Au ni wewe mwenyewe unajaribu kutafuta sympathy humu forum?!?!?!

Anyway sisi wapemba tunasemaga "asifiae mvua, ujue imemnyea" kule bara wasema "ukiona manyoya ujue keshaliwa"........ushaliwa 0715 weye tulia wasiliana na James Delicious kwa huduma za vilainishi na kadhalika

Halafu kwa taarifa yako wazungu ni wachafu wa huo mchezo kupita maelezo sema dada zetu ninyi mnamatatizo haya;
1. Ukilaza
2. Kutojitambua
3. Ushamba
4. Ufukara/umaskini hivyo kutafuta hifadhi (ukupe) haswa kwa white devils at any cost (0715 n.k)
5. Kujikweza - thinking going out with mzungu is a f*****g deal
6. The list goes on (you know what I mean)

Pole sana mwaya lakini mko wengi wenyewe huwa mnasema;
1. Amenitenda
2. Amenipotezea muda
3. All men are dogs
4. Mie sio size yake ilikua bahati mbaya
5. ***********

Akhsanteni kwa kuja.
 
duuh hapa leo nimetoka kapa nisoma thread yooote lakini giza tu sijui what is happening with my brain? nashindwaje kuelewa thread jamani? help please... msaada wa kueleweshwa jamani heeeeeeeeeeeeeeeeeeeelp.....
 
Tatizo la mabinti wa kiafrika wanadhani mtu yeyote mwenye ngozi nyeupe eti ana pesa...! itatuchukua miaka mingi sana waafrika kuondokana na fikra hizi...

Hamjui kuwa kuna ngozi nyeupe ni malofa?
 
duuh hapa leo nimetoka kapa nisoma thread yooote lakini giza tu sijui what is happening with my brain? nashindwaje kuelewa thread jamani? help please... msaada wa kueleweshwa jamani heeeeeeeeeeeeeeeeeeeelp.....
Jukwaa la wakubwa ni lipi jaman
 
Kuna rafiki yangu alimpata mwanamke kwenye mtandao, wakaagana jioni wakutane wagegedane sasa kufika jioni huyu demu alimtext mshkaji wangu. Na kumwambia ana bf wake nae anataka kuja kugegedwa yaani huyu demu bf wake shoga kwahio hao wazungu wana mambo ya maajabu utashangaa ukiambiwa.
walitaka kumtigolize jamaa tu. tehe
 
Back
Top Bottom