Anachanganya kwa kila namna kwa kweli.kweli mkuu ,hayupo ok yupo cpmlex kuliko zile hesabu za integration
i hate him
Bro you're Savage.Huitaji wataalam wa mahusiano, bali wataalam wa masuala ya afya. Tafuta mtaalamu wa kukusaidia kuondoa au kupunguza hizo pimples, au mtaalamu(mwanasaikolojia) akusaidie jinsi ya kuishi na "udhaifu" wako.
Kuhusu hao "virgin" mamas unaokutana nao mara kwa mara, hebu anzisha group whats app wakiwemo halafu uni-add ili ndege wa aina moja tujuane.
Concioussness sana wew@ISISHata Mimi naona. ...bora upige kitabu tu elimu haimtupi mtu! Wewe bado mdogo sana. ..hayo mambo mengine yata unfold yenyewe. .tafuta pesa kwanza
Raha ya kuoa virgin ni pale atakapotaka kuonja ladha ya size mbalimbali wakati ushamuweka ndani.
Zingatia pia:
Kuoa mwanamke mzuri ni sawa na kumiliki shamba la miwa jirani na shule ya msingi.

kumbe na wewe uko adicted na virgin? bas utakutans na China product, yangu machoHuitaji wataalam wa mahusiano, bali wataalam wa masuala ya afya. Tafuta mtaalamu wa kukusaidia kuondoa au kupunguza hizo pimples, au mtaalamu(mwanasaikolojia) akusaidie jinsi ya kuishi na "udhaifu" wako.
Kuhusu hao "virgin" mamas unaokutana nao mara kwa mara, hebu anzisha group whats app wakiwemo halafu uni-add ili ndege wa aina moja tujuane.
AmenConcioussness sana wew@ISIS
nifuate pm kama upo dar nikuunganishe na watu wakusaidie kuondoa hizo chunusi LAKINI KINGINE KIKUBWA NAKUOMBA JARIBU KUKITAFUTA HIKI KITABU magic of thinking big cha David Schwaztso level nimesoma boys japo girls walikuwepo a level kwenye shule hiyo hiyo,A level nimesoma boys pia na kwenye shule hiyo hiyo kulikuwa na wasichana o level.Mimi nina udhaifu fulani hivi labda ndio maana nakuwa selective maana kwa ninavyojijua nikipata wrong woman itakuwa disaster,hongera for ur wife kaka.
pesa kwa mimi... age is just numbersMiss kigezo si pesa tu au hata Age
Nakusalm miss chagga, long time, hope unasongesha vyema jukwaa letu pendwa.....Missing you....pesa kwa mimi... age is just numbers
kinasonga mkuu miss u more .. karibuNakusalm miss chagga, long time, hope unasongesha vyema jukwaa letu pendwa.....Missing you....
Nashukuru Miss, hivi Preta yupo jamani, na Evelyn salt penda sana majibu yake hii toto, na wengine... Naamini jukwaa limeshaacha kuvamiwa!!!!!!!!!!kinasonga mkuu miss u more .. karibu
wapo wanakula ujana tu humu Preta Evelyn Salt mwapewa hi hukuNashukuru Miss, hivi Preta yupo jamani, na Evelyn salt penda sana majibu yake hii toto, na wengine... Naamini jukwaa limeshaacha kuvamiwa!!!!!!!!!!
Nimefurahi zaidi.... I'm back sister lets try to help.....wapo wanakula ujana tu humu Preta Evelyn Salt mwapewa hi huku
aisee karibu sanaNimefurahi zaidi.... I'm back sister lets try to help.....