Wazoefu wa relationships naombeni ushauri

MH SIAJABU UNA MATATIZO KATIKA MFUMO WAKO WA UZAZI.....AU PENGINE BADO HUJAKUA....NA MBAYA ZAIDI ITAKUWA WEWE NI MPIGA PUNYETO MKUBWA MAANA UNAPENDWA ILA HUPENDI KUPENDWA KWA KIJIKASORO TU KIDOGO KWANINI UJIAMINI BOY? EBU JIAMINI MAANA STORY HIZO NI ZA WATOTO WADOGO WA SHULE YA MSINGI SIKU HIZI WATOTO TU HAO WA MSINGI WANAGEGEDANA IWEJE WE MTU MZIMA TENA HADI CHUO UMEFIKA ETI UNAOGOPA KUMGEGEDA MSICHANA...ENDELEA HIVYO HIVYO NAAMINI ATA UKIJA KUOA HUTO TAMANI KUGEGEDA MWISHO WA SIKU UTAGEGEDEWA MKEO.
 
jiamini kwanza .. halafu umri wa mwanaume kuoa miaka 32 kuendelea chini ya hapo vihere here vyao .
 
Duh! Pole sanaaa , nenda jeshin kwanza ukirud aibu zote zitakuisha na utakuwa norma
 
Niliandika hii post miezi kadhaa iliyopita lakini dhamira yangu ilinisuta kuituma,jana usiku nililala na stress kuhusu mambo haya haya,asubuhi nimeona post ya Yule mdada virgin imenifariji kutuma ya kwangu.

Naomba nilete kwenu hili,ni baadhi ya changamoto kwenye maisha yangu,nataka kuwa mtu mpya and start living up to my expections,lakini kufanya hivyo I have to kill the old wrong habbits.Hii ni kuhusu mahusiano nikipata msaada mzuri nitaleta na lingine.

Mimi ni mvulana nina umri wa miaka 24(soon 25) nimehitimu chuo kozi ya afya ngazi ya diploma last year( clinical officer fresh from school),currently nasubiri ajira za serikali.Among many problems that I have ni suala la mahusiano,mpaka sasa sijawahi kuwa na SERIOUS girlfriend,sijawahi ku-kiss wala kusex.I tried to love several times in the past lakini sikuwa successful kuanzisha mahusiano.Kuna ambao niliwapenda sikuwaambia na kuna ambao niliwapenda lakini hawakukubali.

Mbal nilipofika kwenye mahusiano n isiku za karibuni hapa,kulikuwa na huyu binti mzuri sana wa sura na umbo,exactly my type,tunajuana since utotoni…she admired me coz she knows I have good soul,nilikuwa nampenda for many years lakini sikumwabia….sababu kubwa ambazo ilinifanya niwe kimya ni hii

Niliamini kwamba I was not good looking coz I have been suffering from pimple all my life,bila pimple sio mbaya kivile and honestly very very good lookin dude but am never without pimples,huwa sipenndi hii hali na nikiwa hivi nakuwa sijiamini kabisa hata ku appear mbele za watu huwa sipendi

karibuni hapa nikamwambia huyo binti ukweli and she agreed very easly…lakini sadly nikashindwa kumkeep kwa sababu ya isues zifuatazo

First I still have pimple so sikuwa free kuonana nae mara kwa mara especially Mchana,sikupenda kabisa kuonana na maarfiki zake coz nilikuwa sijisikii vizuri wao kuniona katika hali ile.

Kingine ni hivi I always admire kuoa a girl who is virgin,beginner kama mimi na huyu hakuwa hivyo,kazi ninayofanya inani-expose na watu wengi sana na nimiekuwa nikikutana na a lot of girls ambao ni virgin alafu moyo ukawa unauma coz mine is not.Mwisho wa siku binti akaona nina complication so akaamua kusepa zake,tulikuwa good friends for many years lakini nimejaribu kuwa in love nae kwa miezi michache na tukashindwa.Hatukufanya ngono wala romance yeyote.

Currently nipo tu ,am not dating…lakini kuna so many girls around me lakini najiona sipo tayari,well mimi ni clinician nilijishikiza mahali kufanya kazi na jinsi nilivyokuwa najiona mbaya na pimple lakini avery week ilikuwa sikosi wagonjwa wawili watatu wa kuonyesha interest kwangu,but so far sijaona aliyenivutia na mimi bado sijiamini najiona sifai for anyone

Miaka inaenda natamani kuseto kimaisha with a lovely woman lakini kila siku changamoto…kwa mfano sasa nina new desire nataka nijiunge na jeshi niko very committed na hilo na almost nakaribia kufanikiwa but nitatumia miaka 2 mpaka 3 kwa ajili ya kozi kabla ya kurudi uraiani na ajira hapo nitakuwa nina miaka 28 hivi….miaka 28 bila dira ya mahusiano,bila kusex.

Am a good man but very weak,a good friend and chrstian(sio mlokole,naenda hata club sometimes),naamini katika sex after marriage vinginevyo ningekuwa nimeshafanya zamani sana.

Hahaha kijana sasa kama ishu ni pimples zinazo kunyima confidence i wounder hujuwi kwamba ni mafuta yamekuzidi kwa kuwa u been abstained from sex practice, hufanyi tendo what do you expect from that, elimu ya kitabibu unayo kweli
 
Wewe bado ni mvulana, subiri uwe mwanaume!! Na ujiangalie sana maana watu kama nyie hamchelewagi Ku ukutishwa maana mpaka age 25 na hujajua mihemko inakuwagaje na inamsisimuaje mwanaume kamili ambae atakaa na msichana bila ya hata kumpa papaso?!haiwezekan kuna roho ipo nyuma yako ikemee kabla haijakushinda
 
Ha ha nimekumbuka siku ya kwanza kuongea na msichana niliye mpenda. Nilikuwa najieleza huku natetemeka😛😛
 
Niliandika hii post miezi kadhaa iliyopita lakini dhamira yangu ilinisuta kuituma,jana usiku nililala na stress kuhusu mambo haya haya,asubuhi nimeona post ya Yule mdada virgin imenifariji kutuma ya kwangu.

Naomba nilete kwenu hili,ni baadhi ya changamoto kwenye maisha yangu,nataka kuwa mtu mpya and start living up to my expections,lakini kufanya hivyo I have to kill the old wrong habbits.Hii ni kuhusu mahusiano nikipata msaada mzuri nitaleta na lingine.

Mimi ni mvulana nina umri wa miaka 24(soon 25) nimehitimu chuo kozi ya afya ngazi ya diploma last year( clinical officer fresh from school),currently nasubiri ajira za serikali.Among many problems that I have ni suala la mahusiano,mpaka sasa sijawahi kuwa na SERIOUS girlfriend,sijawahi ku-kiss wala kusex.I tried to love several times in the past lakini sikuwa successful kuanzisha mahusiano.Kuna ambao niliwapenda sikuwaambia na kuna ambao niliwapenda lakini hawakukubali.

Mbal nilipofika kwenye mahusiano n isiku za karibuni hapa,kulikuwa na huyu binti mzuri sana wa sura na umbo,exactly my type,tunajuana since utotoni…she admired me coz she knows I have good soul,nilikuwa nampenda for many years lakini sikumwabia….sababu kubwa ambazo ilinifanya niwe kimya ni hii

Niliamini kwamba I was not good looking coz I have been suffering from pimple all my life,bila pimple sio mbaya kivile and honestly very very good lookin dude but am never without pimples,huwa sipenndi hii hali na nikiwa hivi nakuwa sijiamini kabisa hata ku appear mbele za watu huwa sipendi

karibuni hapa nikamwambia huyo binti ukweli and she agreed very easly…lakini sadly nikashindwa kumkeep kwa sababu ya isues zifuatazo

First I still have pimple so sikuwa free kuonana nae mara kwa mara especially Mchana,sikupenda kabisa kuonana na maarfiki zake coz nilikuwa sijisikii vizuri wao kuniona katika hali ile.

Kingine ni hivi I always admire kuoa a girl who is virgin,beginner kama mimi na huyu hakuwa hivyo,kazi ninayofanya inani-expose na watu wengi sana na nimiekuwa nikikutana na a lot of girls ambao ni virgin alafu moyo ukawa unauma coz mine is not.Mwisho wa siku binti akaona nina complication so akaamua kusepa zake,tulikuwa good friends for many years lakini nimejaribu kuwa in love nae kwa miezi michache na tukashindwa.Hatukufanya ngono wala romance yeyote.

Currently nipo tu ,am not dating…lakini kuna so many girls around me lakini najiona sipo tayari,well mimi ni clinician nilijishikiza mahali kufanya kazi na jinsi nilivyokuwa najiona mbaya na pimple lakini avery week ilikuwa sikosi wagonjwa wawili watatu wa kuonyesha interest kwangu,but so far sijaona aliyenivutia na mimi bado sijiamini najiona sifai for anyone

Miaka inaenda natamani kuseto kimaisha with a lovely woman lakini kila siku changamoto…kwa mfano sasa nina new desire nataka nijiunge na jeshi niko very committed na hilo na almost nakaribia kufanikiwa but nitatumia miaka 2 mpaka 3 kwa ajili ya kozi kabla ya kurudi uraiani na ajira hapo nitakuwa nina miaka 28 hivi….miaka 28 bila dira ya mahusiano,bila kusex.

Am a good man but very weak,a good friend and chrstian(sio mlokole,naenda hata club sometimes),naamini katika sex after marriage vinginevyo ningekuwa nimeshafanya zamani sana.
Jenga kujiamani [pamoja na hizo chunusi. Ningekueleza chunusi na mapenzi lakin niachie hapo. Ila sasa hivi Clinician kuna hata tiba zenye gharama nafuu za kulainisha ngozi nyingine za asili. Hebua jaribu kwenda pia hata duka lamadawa wakupe ushauri cha nini cha kutumia.
Jamani kwa wale wanaofahamu msaidieni hata tiba mbadala ( kutumia njia ya asili> wengine wanasema mayai, asali nk.
 
Wewe umesoma clinical officer alafu unakosa dawa ya chunusi haaaaaah !!!
Kwanza jifunze kumenya watoto wewe ndipo ujiite mwanaume lasivyo hapa tutakubatiza majina mengine!!
Yaani unataka kuoa wakati ujui kuvua chupi haaaah we ni kituko kweli!;;
 
Mi naona upo complicated sana, lkn anyway hata hivo bado mdogo, wakati ukifika ndio utakaoamua (time will decide)
 
Huitaji wataalam wa mahusiano, bali wataalam wa masuala ya afya. Tafuta mtaalamu wa kukusaidia kuondoa au kupunguza hizo pimples, au mtaalamu(mwanasaikolojia) akusaidie jinsi ya kuishi na "udhaifu" wako.

Kuhusu hao "virgin" mamas unaokutana nao mara kwa mara, hebu anzisha group whats app wakiwemo halafu uni-add ili ndege wa aina moja tujuane.
ha

mkuu ethics haziruhusu,ningekusaidia
 
uoga wako ndiyo umaskini wako mkuu, jiamini, tembea kifua mbele yupo ambaye atakupenda kama ulivyo. Si hauna kibamia lakini?
 
You are confused, seek psychiatric help. You being in the health practice, I know you understand what I mean. Your problems need careful examination before any attempt on resolving them.
sawa mkuu ngoja nijipe muda ila nitafany kazi ushaur wako
 
Kikubwa ndugu yangu jiamini na ujikubali jinsi ulivyo....pili tafuta tiba ya kupunguza chunusi hizo kama si kuzimaliza kabisa.
currently nafanikiwa kuziweka under control but am afraid coz they come and go
 
Mdogo wangu tatizo hujikubali hutafanikiwa kimapenzi hata kimaisha kwa ujumla usipo jirekebisha hakuna binadamu aliyetimia!!!!
unasema kweli,sometimes haya mambo yanaingilia mambo muhimu ya kimaendeleo,tena kuna mengi makubwa yameshanigharimu
 
MH SIAJABU UNA MATATIZO KATIKA MFUMO WAKO WA UZAZI.....AU PENGINE BADO HUJAKUA....NA MBAYA ZAIDI ITAKUWA WEWE NI MPIGA PUNYETO MKUBWA MAANA UNAPENDWA ILA HUPENDI KUPENDWA KWA KIJIKASORO TU KIDOGO KWANINI UJIAMINI BOY? EBU JIAMINI MAANA STORY HIZO NI ZA WATOTO WADOGO WA SHULE YA MSINGI SIKU HIZI WATOTO TU HAO WA MSINGI WANAGEGEDANA IWEJE WE MTU MZIMA TENA HADI CHUO UMEFIKA ETI UNAOGOPA KUMGEGEDA MSICHANA...ENDELEA HIVYO HIVYO NAAMINI ATA UKIJA KUOA HUTO TAMANI KUGEGEDA MWISHO WA SIKU UTAGEGEDEWA MKEO.

sina tatizo lolote katika uzazi au maumbile,yes masterbation huwa nafanya,mengine nitafanyia kazi,asante
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom