Wazoefu wa relationships naombeni ushauri

Wazoefu wa relationships naombeni ushauri

Ninachokushauri we endelea na imani yako hiyo mpaka ufunge ndoa
Lakini hapo hapo najiuliza utafunga ndoa na nani kama hujishuhulishi na wasichana kimapenzi
Wasichana wa siku hizi wanapenda sana hii kitu ukimzubaisha anakuona hamna kitu

my plans kwa sasa ni kutulia,nipate permanent job,then nijaribu tena kutafuta soul mate.thanks
 
Wewe umesoma clinical officer alafu unakosa dawa ya chunusi haaaaaah !!!
Kwanza jifunze kumenya watoto wewe ndipo ujiite mwanaume lasivyo hapa tutakubatiza majina mengine!!
Yaani unataka kuoa wakati ujui kuvua chupi haaaah we ni kituko kweli!;;

kwenye clinical medicine hakuna mtaala wa dermatology,lakini pia pimple hazina tiba ila kuna medication za ku control,tatizo ni kwamba sometimes lazima tu zitakuwa out of control.
 
Usifanye nikumbukr , niliabstain mpk nilipomaliza form six ndo nikado. From there nikatendwa then 3 yrs ago nilikuwa nawafumua sana,
 
Wewe bado ni mvulana, subiri uwe mwanaume!! Na ujiangalie sana maana watu kama nyie hamchelewagi Ku ukutishwa maana mpaka age 25 na hujajua mihemko inakuwagaje na inamsisimuaje
mwanaume kamili ambae atakaa na msichana bila ya hata kumpa
papaso?!haiwezekan kuna roho ipo nyuma yako ikemee kabla haijakushinda

unaongea mambo ya rohoni,je wewe ni wakala wa roho ipi kaka?
 
jiamini kwanza .. halafu umri wa mwanaume kuoa miaka 32 kuendelea chini ya hapo vihere here vyao .
miaka 32? niliwahi kusoma mahali watu walioona wakiwa in early ages ndoa zao zilidumu zaidi
 
NATAKA NIKUSHAURI JE HUYO ULIYEKUWA NAE ULIMUULIZA KAWAHI ndipo ukachukua maamuzi ya kumuacha?
NATAKA NIKUSHAURI JE HUYO ULIYEKUWA NAE ULIMUULIZA KAWAHI ndipo ukachukua maamuzi ya kumuacha?
namfaham vizuri sana,tumezaliwa sehemu moja,two of the guys aliotembea nao nawafahamu...and of coz alikubali kuwa katoka nao
 
Jiamini kingine anza kugegeda inaonekana we hb sana sema ndo haujiamin wagegede tu utakuja kumpata wife material badae

mkuu kama ulikuwepo,kwa kweli bila pimple nina muonekano mzuri saaana,ishu ipo hapo kwenye kujiamini,hata nikikutumia picha utashangaa
 
namfaham vizuri sana,tumezaliwa sehemu moja,two of the guys aliotembea nao nawafahamu...and of coz alikubali kuwa katoka nao
okay vizuri kwa sasa upo wapi mkuu mean mkoa wako
na katika soma yako from form one to six ulisoma coed au single? kizuri u muwazi jibu umelipata mimi wangu nilidumu nae kwenye upenzi miaka nane bila kumgusa na nikamkuta bikra na hapo nikamuoa nilikuwa mbali nae but nilimjenga ajielewe zaidi KUJITAMBUA KWAKE KUMEMFANYA ASHINDE YOTE MAJARIBU
 
o level nimesoma boys japo girls walikuwepo a level kwenye shule hiyo hiyo,A level nimesoma boys pia na kwenye shule hiyo hiyo kulikuwa na wasichana o level.Mimi nina udhaifu fulani hivi labda ndio maana nakuwa selective maana kwa ninavyojijua nikipata wrong woman itakuwa disaster,hongera for ur wife kaka.
 
Chunusi kweli zinaondoa kujiamini kwako me nimepitia hiyo hali namshukuru mungu zimepungua sana na my girlfriend ananikubali mbaya mbovu kwa hali zote humwambii kitu kuhusu mimi hawa watu wakishapenda hawaangalii kitu japo wapo wa aina hiyo GOD bless u one day will be yes and you will enjoy your life so much.
 
Unfortunately am not a Brother
aah kumbe,sawa lakini unavyonichukulia sivyo,hisia napata sana tu,inapobidi huwa naenda night club,kule nacheza na gals its not enough lakini inasaidia.
 
aah kumbe,sawa lakini unavyonichukulia sivyo,hisia napata sana tu,inapobidi huwa naenda night club,kule nacheza na gals its not enough lakini inasaidia.
Angalia usije mwagia watu Ulojo kwenye mwendo kasi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom