Wazoefu wa relationships naombeni ushauri

Wazoefu wa relationships naombeni ushauri

Sa chunusi nazo ni tatizo??
Anza kujikubali mwenyewe kwanzaaaaa
 
hahaha yaan unakosa confidence kisa chunusi?.....hzo chunusi znatibika,,,, tafuta dawa ya chunusi km ukishindwa kupata njoo huku JF andika uzi natafuta dawa ya chunusi wataalam watakusaidia maana najua wapo


Afu mbona unachagua chagua sana wanawake,,,, sikuzote mchagua naz huambulia koroma,,, ww tafuta mmoja tu aliyetulia afu tulia nae xio lazma awe virgin ili mrad awe katulia tu ww tulia nae......
Bikra zina raha yake unataka apende sana viatu mtumba? chagua original mkuu BIKRA UONE RAHA YA NDOA
 
Bikra zina raha yake unataka apende sana viatu mtumba? chagua original mkuu BIKRA UONE RAHA YA NDOA
ni kweli kaka,hii ishu siku hizi watu wanaipuuzia lakini naamini ina unuhimu kwenye relationship,japo sio guarantee ya furaha kwenye ndoa.
 
We hujui raha ya hayo machunusi, kuna madem wanayapenda. Mimi ninayo zaidi yako na mamdogo wako huwa huwa anapenda kuyapuchua puchua tukiwa on bed mpaka nasinzia. Kwa tz kuapata cream ya kuondoa acne ni shida ila katika kutafuta angalia lotion au cream yenye Salicylic acid. Ila hao wanawake wameumbwa kupuchua machunusi ndio kazi yao.
hah..hah..sante sana jo,ipo moja ndio nimeanza tumia sasa ina hiyo salicylic acid
 
nimesomaaa weeee nkajua sijui tatizooo gan kubwaa kumbe hamna sikia clinical officer tatizo lako kubwa ni insecure yaan hujiamin kutoka ndan ya nafsi yako ambapo ni ugonjwa mbaya kuliko kitu chochote....kwanza jikubali...pili amini hakuna aliye zaidi yako...tatu jipendeee..yaan ukishndwa kujipenda na kujithamin ww huwezi kumpenda mwingine...anza kujifeed positive views about your own look wakat mwngne yaweza kuwa hormony imbalance time will come u will be alright


NAKUKUMBUSHA KWA HERUFI KUBWA ANAEKUPENDA KWA DHATI HATOJALI SANA ABOUT YOUR LOOKING ESPECIALLY MUONEKANO WA NNJE BALI THE INNER SIDE OF YOU.
thanks sana kaka,nadhani tatizo ni huko kutojiamini,kuna kitabu kimoja nilisoma kinaitwa skin deep,mwandishi alidai kwamba kama unashindwa kuanzisha uhusiano sababu ya pimple ikitokea zimeisha lazima utatafuta kisingizio kingine
 
Jifunze kuandika lugha yetu, iliyoletwa na majahazi huiwezi wewe mvulana
bado najifunza,unaruhusiwa kunikosoa ndugu,sitajifunza chochote kwa kuikwepa,hata hivyo umechelewa sana kunikosoa
 
Mapenzi sio kuhusu kitu chochote.mapenzi hayana tafsiri.nina umr kama wako niliwaza kama ww nikiwa form two nikiwa na miaka 16 inaonekana wewe hujiamin sio katka jambo hilo tu katka mambo yako mengi na pia una aibu,
 
Pole, tatizo lako hujiamini na hujui unataka nini. 24 bado ni kijana mbichi hebu tuliza akili yako kwanza na ujiamini, ukishajiamini kila kitu kitaenda poa
 
Watu kama nyinyi mkishaonja papuchi mnakuwa wabaya sana maana huwa mnakuja kugundua kuwa mlichelewa kuenjoy utamu...na hizo DIMPOZ ulizonazo sio za kawaida bali ni utamu uliolundikana usoni..we jaribu kugonga hata siku moja uone kama hujawa baby face.
 
Ninachokushauri we endelea na imani yako hiyo mpaka ufunge ndoa
Lakini hapo hapo najiuliza utafunga ndoa na nani kama hujishuhulishi na wasichana kimapenzi
Wasichana wa siku hizi wanapenda sana hii kitu ukimzubaisha anakuona hamna kitu

TUOLEE...
 
Hahaha kijana sasa kama ishu ni pimples zinazo kunyima confidence i wounder hujuwi kwamba ni mafuta yamekuzidi kwa kuwa u been abstained from sex practice, hufanyi tendo what do you expect from that, elimu ya kitabibu unayo kweli
Vyupa vimejaaaa
 
Kila mtu anawaza yake bwege ww nani wa kukaa na kuwaza pimple zako. Acha punyeto.....hlf eti nasubir ajira ya serikali yan ajira zote hizo private sector ya afya!nyie ndo mtaji wa wana siasa...
 
Niliandika hii post miezi kadhaa iliyopita lakini dhamira yangu ilinisuta kuituma, jana usiku nililala na stress kuhusu mambo haya haya, asubuhi nimeona post ya yule mdada virgin imenifariji kutuma ya kwangu.

Naomba nilete kwenu hili, ni baadhi ya changamoto kwenye maisha yangu, nataka kuwa mtu mpya and start living up to my expections, lakini kufanya hivyo I have to kill the old wrong habbits. Hii ni kuhusu mahusiano nikipata msaada mzuri nitaleta na lingine.

Mimi ni mvulana nina umri wa miaka 24 (soon 25) nimehitimu chuo kozi ya afya ngazi ya diploma last year (Clinical officer fresh from school), currently nasubiri ajira za serikali. Among many problems that I have ni suala la mahusiano, mpaka sasa sijawahi kuwa na SERIOUS girlfriend, sijawahi ku-kiss wala kusex. I tried to love several times in the past lakini sikuwa successful kuanzisha mahusiano. Kuna ambao niliwapenda sikuwaambia na kuna ambao niliwapenda lakini hawakukubali.

Mbali nilipofika kwenye mahusiano ni siku za karibuni hapa, kulikuwa na huyu binti mzuri sana wa sura na umbo, exactly my type, tunajuana since utotoni she admired me coz she knows I have good soul, nilikuwa nampenda for many years lakini sikumwabia sababu kubwa ambazo ilinifanya niwe kimya ni hii;

Niliamini kwamba I was not good looking coz I have been suffering from pimple all my life, bila pimple sio mbaya kivile and honestly very very good lookini dude but am never without pimples, huwa sipendi hii hali na nikiwa hivi nakuwa sijiamini kabisa hata ku appear mbele za watu huwa sipendi.

Karibuni hapa nikamwambia huyo binti ukweli and she agreed very easly lakini sadly nikashindwa kumkeep kwa sababu ya isues zifuatazo;

First I still have pimple so sikuwa free kuonana nae mara kwa mara especially Mchana, sikupenda kabisa kuonana na maarfiki zake coz nilikuwa sijisikii vizuri wao kuniona katika hali ile.

Kingine ni hivi I always admire kuoa a girl who is virgin, beginner kama mimi na huyu hakuwa hivyo, kazi ninayofanya inani-expose na watu wengi sana na nimiekuwa nikikutana na a lot of girls ambao ni virgin alafu moyo ukawa unauma coz mine is not. Mwisho wa siku binti akaona nina complication so akaamua kusepa zake, tulikuwa good friends for many years lakini nimejaribu kuwa in love nae kwa miezi michache na tukashindwa. Hatukufanya ngono wala romance yeyote.

Currently nipo tu, am not dating lakini kuna so many girls around me lakini najiona sipo tayari, well mimi ni Clinician nilijishikiza mahali kufanya kazi na jinsi nilivyokuwa najiona mbaya na pimple lakini avery week ilikuwa sikosi wagonjwa wawili watatu wa kuonyesha interest kwangu, but so far sijaona aliyenivutia na mimi bado sijiamini najiona sifai for anyone.

Miaka inaenda natamani kuseto kimaisha with a lovely woman lakini kila siku changamoto, kwa mfano sasa nina new desire nataka nijiunge na Jeshi niko very committed na hilo na almost nakaribia kufanikiwa but nitatumia miaka 2 mpaka 3 kwa ajili ya kozi kabla ya kurudi uraiani na ajira hapo nitakuwa nina miaka 28 hivi, miaka 28 bila dira ya mahusiano, bila kusex.

Am a good man but very weak, a good friend and chrstian (sio mlokole, naenda hata club sometimes), naamini katika sex after marriage vinginevyo ningekuwa nimeshafanya zamani sana.
Childish
 
Hata sijamalizia kusoma nimeishia katkat ...unachanganya lugha kiingereza cha nini sasa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom