Wazoefu wa relationships naombeni ushauri

hongera kaka,and
 
Hata Mimi naona. ...bora upige kitabu tu elimu haimtupi mtu! Wewe bado mdogo sana. ..hayo mambo mengine yata unfold yenyewe. .tafuta pesa kwanza
kweli kaka,money solve all problems.
 
You are confused, seek psychiatric help. You being in the health practice, I know you understand what I mean. Your problems need careful examination before any attempt on resolving them.
kweli mkuu ,hayupo ok yupo cpmlex kuliko zile hesabu za integration
i hate him
 
anataka tumshauri nini maana ana misimamo yake ni kama katuletea tu taarifa
Pale mwanzo wa uzi wake amesema wazi kwamba yeye ni MVULANA.
Sasa nilipo ona hayo maandishi, nikaona nipite polepole tu
 
anataka tumshauri nini maana ana misimamo yake ni kama katuletea tu taarifa
nimeleta taarifa ndio,kuna wenye uwezo wa kuona problems kwenye hizo info na kitoa msaada,wewe umesoma ukahisi mimi ni shoga,nimeelewa fikra zako haziko sahihi,but asante sana kwa kuchangia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…