Ninachokushauri we endelea na imani yako hiyo mpaka ufunge ndoa
Lakini hapo hapo najiuliza utafunga ndoa na nani kama hujishuhulishi na wasichana kimapenzi
Wasichana wa siku hizi wanapenda sana hii kitu ukimzubaisha anakuona hamna kitu
Duh! Pole sanaaa , nenda jeshin kwanza ukirud aibu zote zitakuisha na utakuwa norma
uoga wako ndiyo umaskini wako mkuu, jiamini, tembea kifua mbele yupo ambaye atakupenda kama ulivyo. Si hauna kibamia lakini?
Wewe umesoma clinical officer alafu unakosa dawa ya chunusi haaaaaah !!!
Kwanza jifunze kumenya watoto wewe ndipo ujiite mwanaume lasivyo hapa tutakubatiza majina mengine!!
Yaani unataka kuoa wakati ujui kuvua chupi haaaah we ni kituko kweli!;;
Afu kuhusu chunisi, tumia sabuni ya zoazoa kunawa oso kila asubuhi na jion, the paka asali yenye mchanganyiko wa mdalisi, zitakwishayaan thats my hope,naamini jeshi litanibadili in a good way
Miss kigezo si pesa tu au hata Agejiamini kwanza .. halafu umri wa mwanaume kuoa miaka 32 kuendelea chini ya hapo vihere here vyao .
Wewe bado ni mvulana, subiri uwe mwanaume!! Na ujiangalie sana maana watu kama nyie hamchelewagi Ku ukutishwa maana mpaka age 25 na hujajua mihemko inakuwagaje na inamsisimuaje
mwanaume kamili ambae atakaa na msichana bila ya hata kumpa
papaso?!haiwezekan kuna roho ipo nyuma yako ikemee kabla haijakushinda
miaka 32? niliwahi kusoma mahali watu walioona wakiwa in early ages ndoa zao zilidumu zaidijiamini kwanza .. halafu umri wa mwanaume kuoa miaka 32 kuendelea chini ya hapo vihere here vyao .
hah..hah..hahaUsifanye nikumbukr , niliabstain mpk nilipomaliza form six ndo nikado. From there nikatendwa then 3 yrs ago nilikuwa nawafumua sana,
TUNZA BIKRA YAKO
NATAKA NIKUSHAURI JE HUYO ULIYEKUWA NAE ULIMUULIZA KAWAHI ndipo ukachukua maamuzi ya kumuacha?i hope so
NATAKA NIKUSHAURI JE HUYO ULIYEKUWA NAE ULIMUULIZA KAWAHI ndipo ukachukua maamuzi ya kumuacha?
namfaham vizuri sana,tumezaliwa sehemu moja,two of the guys aliotembea nao nawafahamu...and of coz alikubali kuwa katoka naoNATAKA NIKUSHAURI JE HUYO ULIYEKUWA NAE ULIMUULIZA KAWAHI ndipo ukachukua maamuzi ya kumuacha?
Jiamini kingine anza kugegeda inaonekana we hb sana sema ndo haujiamin wagegede tu utakuja kumpata wife material badae
okay vizuri kwa sasa upo wapi mkuu mean mkoa wakonamfaham vizuri sana,tumezaliwa sehemu moja,two of the guys aliotembea nao nawafahamu...and of coz alikubali kuwa katoka nao
okay vizuri kwa sasa upo wapi mkuu mean mkoa wako
na katika soma yako from form one to six ulisoma coed au single? kizuri u muwazi jibu umelipata mimi wangu nilidumu nae kwenye upenzi miaka nane bila kumgusa na nikamkuta bikra na hapo nikamuoa nilikuwa mbali nae but nilimjenga ajielewe zaidi KUJITAMBUA KWAKE KUMEMFANYA ASHINDE YOTE MAJARIBU
Unfortunately am not a Brother
unaongea mambo ya rohoni,je wewe ni wakala wa roho ipi kaka?
aah kumbe,sawa lakini unavyonichukulia sivyo,hisia napata sana tu,inapobidi huwa naenda night club,kule nacheza na gals its not enough lakini inasaidia.Unfortunately am not a Brother
Angalia usije mwagia watu Ulojo kwenye mwendo kasi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]aah kumbe,sawa lakini unavyonichukulia sivyo,hisia napata sana tu,inapobidi huwa naenda night club,kule nacheza na gals its not enough lakini inasaidia.