Wazo: Umoja wa tunaoishi na VVU

Wazo: Umoja wa tunaoishi na VVU

SSH2025_2030

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
9,661
Reaction score
9,814
Wasalamu wadau najitokeza mbele kuwatangazia kuwa tunakusudia kuanzisha umoja wa watu wanaoishi na VIRUSI VYA UKIMWI ambao pia ni mwanachama wa JAMII FORUMS ili kutukutanisha pamoja kujadili mada mbali mbali zihusuzo afya zetu, lishe na Mahusiano.

Waweza kuni-PM kwa ajili ya maelezo zaidi. Asanteni.
 
Hii nadhani inaweza kukosa washiriki wa kutosha kwenye uchangiaji katika thread hii, ngoja tuone watakaojitokeza.

Btw, all the best.
 
Ngumu sana, mtaani kwenyewe hawajitambulishi, seuse hapa jf? Utawahakikishia vipi usiri wa taarifa zao?

Si ndio itakuwa, fulani ni muathirika and the like. Kama kunahitajika kujadili mambo, maisha ya watu wanaoishi na vvu si siri tena, yanaweza kujadiliwa sredini na wote tukafaidika. Kumbuka, mwana jf anaweza kuwa hajaathirika, ila ana ndugu yake mwathirika, au yeye mwenyewe akaathirika badae, utaalam huo utasaidia wengi ukifanyika sredini.
 
Daaah hapa cdhan kama wa2 wataingia hapa anyway ni idea nzur xema watekelezaj xaxa
 
Hii nadhani inaweza kukosa washiriki wa kutosha kwenye uchangiaji katika thread hii, ngoja tuone watakaojitokeza.

Btw, all the best.

Tatizo wengi wanajistukia kabla ya kustukiwa, hawataki kuukubali ukweli.....!
 
Ni wazo
Lakini kongosho amesema vyema, wote tumeathirika in a way so ni bora tushirikishane mbinu sijui a chochote ili itusaidie sisi na ndugu zetu.
 
Tatizo wengi wanaoponda waathirika hawajui status zao..

Cha muhimu kabla ujatoa comment ya kijinga..NENDA UKAPIME KWANZA UJIJUE STATUS YAKO

Hongera sana blessings, ni vema ukashare hapa kila mmoja ajifunze hivyo vitu maana HIV haina mwenyewe yeyote anaweza kuwemo bila kutarajia.. Nina imani hata wewe haukutarajia kuwemo huko
 
Last edited by a moderator:
That's good idea

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
images
 
Wasalamu wadau najitokeza mbele kuwatangazia kuwa tunakusudia kuanzisha umoja wa watu wanaoishi na VIRUSI VYA UKIMWI ambao pia ni mwanachama wa JAMII FORUMS ili kutukutanisha pamoja kujadili mada mbali mbali zihusuzo afya zetu, lishe na Mahusiano.

Waweza kuni-PM kwa ajili ya maelezo zaidi. Asanteni.
Ahsante sana sana kaka...
Mungu akubariki sana sana sana mada yako hii ifanikiwe sio tu kwa uchangiaji bali kwa PM.
 
Back
Top Bottom