Wazo: Uitishwe Mdahalo kati ya Magufuli Vs Lowassa

Wazo: Uitishwe Mdahalo kati ya Magufuli Vs Lowassa

JE MDAHALO WA WAGOMBEA URAIS UFANYIKE AU USIFANYIKE?


  • Total voters
    12
  • Poll closed .

Toosweet

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2012
Posts
2,140
Reaction score
1,983
Salaam Wanajamvi.

Ni dhahiri kuwa mpambano wa Urais wa JMT utakuwa kati ya John Magufuli wa CCM na EL wa CDM/ UKAWA.Ingawa Magufuli ni mwongeaji mzuri mpambano unaweza kutusaidia kujua mwelekeo wa nani zaidi.

Mnaonaje?
 
Mzee wa takwimu za uongo

Lowassa
1 kufutilia mbali mkataba wa city water
2 kuleta maji ziwa victoria mpaka shinyanga
3 Shule za kata
4 Kutaka kufuta mkataba wa Richmond Rais dhaifu akazuia
5 kuhamia upinzani
Magufuli
1 Hasara ya kuuza nyumba za serikali
2 Hasara ya meli ya samaki
3 mibarabara mibovu
 
Rais wetu wa awamu wa 5 hawezi kuongea kabisa asee ila kwenye vitendo ndio mwenyewe
 
Lowassa
1 kufutilia mbali mkataba wa city water
2 kuleta maji ziwa victoria mpaka shinyanga
3 Shule za kata
4 Kutaka kufuta mkataba wa Richmond Rais dhaifu akazuia
5 kuhamia upinzani

Magufuli
1 Hasara ya kuuza nyumba za serikali
2 Hasara ya meli ya samaki
3 mibarabara mibovu

Ha ha haaaa! Duuuuh watu ni wadukuzi hataree! Asante sana mkuu; nimefarijika
 
Lowasa:-

PM. Dr. W. Slaa.
Sheria na Katiba: Tundu Lisu.
Elimu: Mbatia.
Uchumi na maendeleo: Lipumba. N.k n.k
Ukubwa wa serikali : viongozi wasiozidi 30
Katiba ya Watanzania.
Uchumi mikononi mwa Watanzania.
Kufufua viwanda
Kuinua viwango vya elimu.
Kufight ufisadi, rushwa na uonevu.
Kuondoa nafasi za wakuu wa wailaya.
Kufumua jeshi la polisi na kuliunda upya.
n.k n.k.

Magufuli.

p.m : Amina Ally.

Sheria na katiba: Chenge.

Elimu: Asumpta Mshana.

Uchumi na maendeleo: Riziwani .

Ukubwa wa serikali: viongozi 100+
Kuongeza wakuu wa wailaya.

Kusimamia katiba ya mafisadi ccm.

Kulinda sheria zilizotokana na miswaada fake ya juzi.

Kuhakikisha Watanzania wanzidikuwa wajinga, maskini na wasiokuwa na haki wala uhuru.

Kuondoa utawala wa sheria na kuhalalisha ngumi na matumizi ya magongo kama njia ya kufikia maafikiano katika mikutano.

Hakuna polisi kusimamia maslahi ya uma.

SAFARI HII HATUDANGANYIKI. TUTAWASIKILIZA LAKINI KIKUBWA TUTAANGALIA MIFUMO YA VYAMA VINAVYOWAPITISHA AMBAVYO VITAUNDA SERIKALI, MIFUMO YA SERIKALI ZAO, NA HISTORIA ZA AWALI.
 
Lowasa mtamwonea sio mwongeaje ila mtendaji. Tofautisha kutenda na kuzungumza ni vitu viwili tofauti. Japo kuna watu kipsychology wana vyote pamoja.
 
Lowasa:-

PM. Dr. W. Slaa.
Sheria na Katiba: Tundu Lisu.
Elimu: Mbatia.
Uchumi na maendeleo: Lipumba.
n.k n.k.

Magufuli.

p.m : Amina Ally.

Sheria na katiba: Chenge.

Elimu: Asumpta Mshana.

Uchumi na maendeleo: Vick Kamata.

SAFARI HII HATUDANGANYIKI. TUTAWASIKILIZA LAKINI KIKUBWA TUTAANGALIA MIFUMO YA VYAMA VINAVYOWAPITISHA AMBAVYO VITAUNDA SERIKALI, MIFUMO YA SERIKALI ZAO, NA HISTORIA ZA AWALI.




Hilo baraza la magufuli litatia fora...kabla halijawa wazi nitamkata Magufuli kwenye sanduku la kura.

Maliasili nimeona orodha atakuwa KINANA...Magufuli atamteua ubunge.
 
UKAWA Hawana Haja ya Midahalo Kwa Maana Ushindi Uko wazi. Wanaohitaji Mdahalo Hawana Uhakika Lowassa ni Kizuri Chajiuza.
 
Kuna watu ni wazuri kwenye kuongea tu utendaji zero
 
katika wkness kubwa ya lowassa ni kuongea hayupo vzr sana ktk kujenga hoja na kuitetea lakn ni mtendaji na msimamiaji mzuri magufuli huyu hana tofaut na prof muhongo jamaa ni bingwa wa kujenga hoja dhaifu ila kanazsmamia hoja zake kwa wale wenye ufaham wa mb 8 watamwona bingwa pili ni bingwa wa kusifia na takwimu za uongo uongo mf ni idadi na mimba za samaki tatu ni msemaji na mtishaji bt c mfatiliaj mf ni rushwa za mizani na wakandalasi uchwala na barabara mbovu znazobomoka kwa manyunyu ya mvua
 
Hata kwa usimamizi magu pia yuko K km Edo, ila edo anapoteza kumbukumbu wkt wa kuongea.
 
Yani ndio mmekosa kazikweli, mnalinganisha huyo poyo kajiishia neno moja dk 3, kutetemeka utadhani kakalia mti uliochongwa hahaha magufuli mwacheni yule kaisha andikiwa rais wenu 2016
 
Hata kwa usimamizi magu pia yuko K km Edo, ila edo anapoteza kumbukumbu wkt wa kuongea.
Licha yakupoteza kumbukumbu mzee yule nisweta hanalolote pale wana lazimisha gauni kuwa suruali
 
Back
Top Bottom