km ni mdahalo wa kilometer za barabara mkaufanyie huko TANROADS lkn km ni mdahalo wa wagombea wa Urais sidhani km unaweza mlimganisha kwa data WAZIRI MKUU MSTAAFU(Msimamizi) VS WAZIRI WA UJENZI(mfanya kazi)
Lowasa hawezi kukubari afya yake siyo nzuri hawezi kuongea muda mrefu anachoka na mataya yanakufa ganzi.
CCM hawawez kuingiza timu uwanjani wanaogopa mashambulizi ya gharika
CCM hamna huruma na mgombea wenu Magufuli ataongea nini zaidi ya kusema sura yangu ni mbayambaya usiku wakati mwingine inakuwaga nzuri Samia mwenyewe ana sura nzuri............?,
tunatafuta rais mchapa kazi sio muongeaji kama unamtaka muongeaji kamfuate mc pilipili....
Lowasa mgonjwa, wala hawezi kuongea hatamuweza Magufuli.
Mwaka huu ccm wameruhusu mdahalo..chadema watakimbia