Uungwana Vitendo
JF-Expert Member
- Nov 20, 2013
- 1,323
- 508
Nakuomba upige marufuku hii siku inayoitwa siku ya waongo iliyopewa jina la siku ya wajinga. Chaa ajabu anayefurahi na kusherehekea ni yule anayedanganya na yule anayedanganywa huuuzunika na kuitwa MJINGA. Piga marufuku ukizingatia amri yako ni sheria. Maajabu mengine hadi vyombo vya habari hushiriki siku hii. Piga marufuku .Ni mawazo yangu wajameni