nashindwa kubadilishana mawazo humu naomben mnisaidien hili

We jichanganye tu utaweza
Mie, mama yangu kaniandali uji wa soya, mixer karanga, maziwa, mchele, unga wa samaki aina ya sato na asali. I love mama wangu gfsonwin
Dah, kweli wewe bado unakuwa. Nikinywa huo uji mwezi mmoja tu nahamia rehabilitation center. Bora hata mchemsho wa mbuzi kuliko hiyo makitu. Haya bwana, enjoy.
Watu wazima na nanihii za shaba, bado mnakunywa uji !!!
Inakuhusu nini sie, kunywa uji
hii ni CC wewe mbona unambwelaaa!!