Dit000
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 656
- 856
Habari nimepata wazo la uwekezaji.
Nimewaza hivi, nikiwa na eneo kubwa lililokandokando ya makazi ya watu halafu nikatafuta wataalamu wa ujenzi wakafanya usanifu wa shimo kubwa sana la kutunzia uchafu wa chooni .
Kitu cha pili natakiwa kununua gari la kunyonya uchafu kwenye septic tank kutoka kwenye majumba ya watu.
Nitakachokuwa nafanya natafuta mashimo ya choo yaliyojaa kutoka kwenye makazi ya watu hasa mjini then nayapeleka kwenye storage tank.
Sasa najiuliza je;
1.Serikari itaniruhusu?
2.Utaratibu gani wa kufuata ili nianze kazi?
3.Ikitokea storage tank limejaa, je uchafu nitaufanyeje ili uyeyuke?
Naombeni mawazo yenu ndugu zangu.