Wazo la siku zote

Wazo la siku zote

Haujaingia bado

nivumilie si unajua mkopo wanachukua chao ppf wanachukua chao watoto wangu wanne nawalea mama tofauti wanachukua chao kupitia uswtawi wa jamii bado madeni nilikopa nilivyokutoa out madeni dereva wa boda boda kodi ya nyumba

nahisi imeinia ila imeisha
vip unaweza kuniazima hela kidogo ?
Mwenzio mambo magumu
 
Its over am not your type
 
Hivi hamnaga nguvu za kike wajamenj?

Mkuu nasikia sikuiz kuna BG-G za kichina, mwanamke akitafna iyo, siku iyo utaimba halleluya maana anakuwa na hamu zaid ya punda
 
Bas hapo ndio shida inapopatikana!
Kama uliakua umechepuka na watu washatafuna big g utakojolea miguu iyo siku!
 
Lakini mi nawaambia wadada, sio mpango wala nn kama kweli wanatumia hizo vitu za big g
 
Inabidi na Big G za kiume zitengenezwe ili iwe ngoma droo.
Haki sawa jamani.
 
Back
Top Bottom