Wazo la siku zote

Wazo la siku zote

Tarime one

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2013
Posts
2,246
Reaction score
1,740
Bora uishiwe fedha utatafuta zingine kuliko kuishiwa nguvu za kiume, maana utamuomba nani kila mmoja ana kazi nazo,na alizonazo hazimtoshi kwa matumizi yake binafsi, ogopa kuishiwa hiyo kitu mzee!!
 
mkuu nakopesha nguvu za kiume anayehitaji ani pm
 
basi haya... nanjilinji mzee wa samaki nchanga njoo huku uone hoja hizi..
 
Last edited by a moderator:
hv nahisi kama nachanganya mafaili hapa!!!
ukiishiwa nguvu za kiume yaan unakuwa hudindishi au unawahi kuchoka!!!
na kama huna kizazi unakuwa humwagi au!!!!
 
Kwani nguvu za kiume ndo zipi hizo? Fafanua kidogo mkuu
 
kwa emejensi unatakiwa u save namba za polisi na zimamoto hizi nyingine sio nzuri wengine wanafunga magoli ya mikono zikiwazidia

Hahahahaaaa, huwa hawana pa kuzipeleka, ila ukizoea kufunga magori kwa mikono shauri yako.
 
hv nahisi kama nachanganya mafaili hapa!!!
ukiishiwa nguvu za kiume yaan unakuwa hudindishi au unawahi kuchoka!!!
na kama huna kizazi unakuwa humwagi au!!!!

Dushe halisimami, au likisimama dk1 nyingi unaanza kubembeleza.
 
kwa emejensi unatakiwa u save namba za polisi na zimamoto hizi nyingine sio nzuri wengine wanafunga magoli ya mikono zikiwazidia
Aisee nataka na mimi ni experience kidogo
 
Back
Top Bottom