Wazo la leo................

Wazo la leo................

saudari

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
2,655
Reaction score
2,783
-----------------------------------------------------------------------------
Hata uwe msafi vipi, huwezi kunawa mikono ili ule rushwa.

Ukiachwa na mpenzi wako usijali, mwambie "bora pengo kuliko jino bovu".

Pundamilia ana mistari lakini hawezi kwenda Studio.

Hata uwe kinyozi hodari na mtaalamu kiasi gani, huwezi kunyoa kichwa cha habari.
------------------------------------------------------------------------------

Tupia lako.
 
hata uwe mkorofi vipi, lazima utulie wakati wa kun¥a
 
hata uwe mkorofi vipi, lazima utulie wakati wa kun¥a

Hata umpende kiasi gani mpenzi wako, utaishia kuoga nae tu lakini kun¥a utaenda pekee yako.
 
Pamoja na kuitwa vyakula vya wanga, hata wasio wanga wanavitumia.
 
Na uwe na heshima na miadabu lukuki!
U-mtu wa Mungu, kamwe hutopiga hodi sokoni.
 
Hata uwe na adabu vipi huwezi kumpokea afande bunduki
 
Hata uwe mkarimu vipi huwezi itikia karibu hodi ya chooni
 
Hata umpende vipi Bwana Yesu huwezi kumwita ''Baby''
 
Hata uwe na haraka vp ya kwenda zanzibar, huwezi kupanda jahazi la mzee Yusuph wala la clouds fm.
 
Hata uwe unapenda sana kupiga hodi kamwe huwezi piga hodi mlango wa friji.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom