Wazo la Leo....

....Umeme hauna kiuno, lakini unakatika.
.....Hata uwe bingwa wa fasheni vipi, huwezi kunyoa kiduku kwapani.
Dah! Watu mna maneno.

Madame B: Hauvumi lakini umo! Una maneno weye...hahaha!
 
Last edited by a moderator:
Hata uwe na tamaa kiasi gani huwezi kutamani kifo
 
Urefu na ufupi ni majaliwa ya Mungu ila kitambi na mimba ni juhudi binafsi
 
mpenzi wako akizingua achana nae akiuliza vipi mpenzi mwambie bora kung'oa jino kuliko kukaa na jino bovu......!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…