Wazo la leo

"Lakini uongozi mbovu ni kama mzoga, una tabia ya kukaribisha mafisi na mainzi"

Source: Mwalimu J.K. Nyerere. (R.I.P)
 
Ukiona kazi kufanya kazi, acha kazi uone kazi.
 
siyo kila m'beba bunduki ni askari, wengine majambazi.
 
ltafuteni kwanza pesa, mengine yote mtazidishiwa!
 
juu havutii ila chini kafungasha madini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…