Wazo la Leo: Sasa nimeamini kila mtu ameitwa.

Wazo la Leo: Sasa nimeamini kila mtu ameitwa.

malisoka

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2012
Posts
1,860
Reaction score
2,639



"Sasa nimeamini kwamba kila mmoja wetu ana wito binafsi hapa duniani, wito huo ni wakipekee kabisa kama alama za vidole,

Na kwamba njia bora ya kufanikiwa ni kugundua nini upendo na kisha kutafuta njia ya kutoa kwa wengine katika mfumo wa huduma , Alafu fanya kazi kwa bidii, na pia ruhusu msukumo wa ulimwengu kukuongoza wewe. "

Oprah Winfrey.


Source: postgiver | Narrow the road that leads to life, and only a few find it.
 
Back
Top Bottom