Wazo la leo: Kijiweni kwetu

Wazo la leo: Kijiweni kwetu

Huu uzi mlikosa mawazo ya riku au vipi?
Wazo la leo:
Msitu ukiona shoka hufurahi kuwa mpini na kusema ni jamii yao bila kujua kitakachofata. Maanake n jihadhari na wanaokuzukunga wengne ni mipini watakuangusha mda wowote
 
Back
Top Bottom