Herbalist Dr MziziMkavu Platinum Member Joined Feb 3, 2009 Posts 43,114 Reaction score 34,958 Jun 27, 2013 #1 Idadi ya watu walioko china wakiamua kuhesabu 1 hadi 3 kisha waruke kwa pamoja na kutua kama warukavyo wamasai, DUNIA ITATIKISIKA!
Idadi ya watu walioko china wakiamua kuhesabu 1 hadi 3 kisha waruke kwa pamoja na kutua kama warukavyo wamasai, DUNIA ITATIKISIKA!
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 56,087 Reaction score 56,235 Jun 27, 2013 #2 Kishindo chao kitatenganishwa na maji.
Yegoo JF-Expert Member Joined Nov 14, 2012 Posts 1,434 Reaction score 511 Jun 27, 2013 #3 1BL ya watu cio mchezo!! Lazima litokee tetemeko la ardhi kwa huo mda!
saudari JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 2,655 Reaction score 2,783 Jun 27, 2013 #4 Hahahaaaaa!!!! Sema tu, wachina ni wepesi sana so uzito wa wachina 10 ni sawa na uzito wa Mtz mmoja. Ingekua ni wabongo hapo ningekubali.
Hahahaaaaa!!!! Sema tu, wachina ni wepesi sana so uzito wa wachina 10 ni sawa na uzito wa Mtz mmoja. Ingekua ni wabongo hapo ningekubali.
KOKUTONA JF-Expert Member Joined Jan 29, 2011 Posts 8,651 Reaction score 6,110 Jun 27, 2013 #5 daaaah......
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,687 Reaction score 64,739 Jun 27, 2013 #6 Wana nguvu gani wako kama karatasi tu.
mimisa JF-Expert Member Joined Apr 5, 2012 Posts 2,511 Reaction score 1,441 Jun 27, 2013 #7 wepesi sana wale..ila wangeamua kuandamana
Mzee Platinum Member Joined Feb 2, 2011 Posts 13,620 Reaction score 5,868 Jun 27, 2013 #8 Mamndenyi said: Wana nguvu gani wako kama karatasi tu. Click to expand... Wachina 10= Mtanzania 1.
Chocs JF-Expert Member Joined Aug 21, 2012 Posts 8,447 Reaction score 4,842 Jun 27, 2013 #9 Kama siafu
kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,649 Reaction score 19,042 Jun 27, 2013 #10 10=1 kwa maana mchina 10 mtz 1