NGAO - SELF DEFENSE SYSTEM

NGAO - SELF DEFENSE SYSTEM

Jenerali Ken

Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
81
Reaction score
71
NGAO
Ni mfumo wa kujilinda wa tanzania
.,ambao umeanzishwa na mlinzi shujaa , mfumo huu
unangazia zaidi katika mafunzo ya kunilinda
.dhidi ya wanyang'anyi, wabakaji, wateka nyara,
, wauaji, magonjwa, ajali, mazingira hatarishi, wanyama
.wakali, wadudu wa kali na matendo mabaya. Kama vile
. Kuiba, kudhulumu, kutukana watu, kuzini, kupiga
Mafumbo , kutumia vitu vyenye madhara kiafya na
.adhalika. mfumo huu wa ( ngao ) unamchanganyiko wa
.mafunzo mbalimbali ya kujihami ambayo yametoka katika
.Katrate, jujitsu, kung fu, kenpo na mitambo mingine ya kijeshi kama vile
.combative, unarmed combat, defendero, save na kadhalika.
.
Mfumo wa kujilinda wa Ngao
.unaangazia masomo makuu matatu ambayo yanaifanya ngao kuwa
.mfumo kamili na bora wa kujilinda duniani.
.Katika ngao raia hujifunza somo la ( safety training) ambalo linafundisha
.jinsi ya kutambua hatari kabla haijatokea, pia hujifunza somo la
.Defensive training ) ambalo linafundisha jinsi ya kujihami pindi hatari
. inapotokea, vilevile hujifunza somo la (first aid ) ambalo hujifunza jinsi
.ya kumpatia mtu huduma ya kwanza baada ya hatari kutokea.
 
Back
Top Bottom