sonofobia
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 384
- 2,526
Pesa imepungua mtaani ilo halina mjadala.. Hali ngumu mtaani ilo halina mjadala.. Watu wanaisoma namba ilo halina mjadala.
Lakini pia lazima tukubaliane sio kila mtu pesa imepungua mfukoni.. Sio kila mtu ana hali ngumu inayosemwa.. Sio kila mtu anasoma namba.
Nachotaka tushee ni namna gani hiyo hali inaweza kuwa fursa kwa wengine?
Mfano sisi watumishi haswa wa sekta binafsi, huu upunguaji wa pesa kwenye mzunguko haujatugusa kihivyo na pengine tunausoma tu mtandaoni au tunashuudia tu kwa wengine mtaani.
Let's say ulikuwa unapokea million 3, 2 or 1 per month, still pesa ni ile ile unapata mpk leo . Hapa huisomi namba.
So sisi wa dizain hii tunaweza kutokaje?
Wakati wetu pengine ni huu, nakumbuka hapo nyuma kidogo ilikuja trend ya watu kukimbia ajira na kutubeza tuliokomaa kwenye vibarua vyetu.
Mimi binafsi naona hii awamu ndio awamu yetu ya neema tukiitumia vizuri.
Wenzetu walifanya kufuru sana mpaka kufikia kuiita shilingi laki moja eti si pesa, tusirudie ilo kosa.
Wakati wengine wakilalamika kuhusu serikali, wengine wakitukana mitandaoni ili wapate likes..
Sisi ni wakati wetu kununua ardhi kwa bei ya kulalia.
Sisi ni wakati wetu kuanzisha makampuni safi yanayofata utaratibu bila kutegemea upigaji ata kama ni vikampuni vidogo.
Ni wakati wetu wa kwenda kwenye uzalishaji zaidi maana uchuuzi kwa sasa ni gharama, kuingiza kontena la soksi au sidiria ni bora ufanye processing ya unga wa dona.
Kwa wenzangu mnaoona fursa kwenye hii awamu 'ngumu' ebu tushee fursa hapa.
Nb :huu sio uzi wa malalamiko wala frustrations za kisiasa. Ni uzi wa kibepari survive for the fittest.