Wazo zuri mkuu hakuna kupata kudogo. Mi Kuna dada kani-inspire pale morogoro. Ye kaanzisha kijiwe Cha pilau tu, kuanzia saa nne asubuhi Hadi usiku Ni mwendo wa pilau na anauza kwa buku buku tu. Watu wanajaa hatari, yule dada anaweza kua anaangusha faida mpaka 50k kwa siku. Huwezi amini Ana Masters kabisa.Uzi umekosa wachangiaji?[emoji20][emoji26]
CASINOWeka kwenye kubeti hyo elfu 50 chagua timu 5 tu za uhakika utakuja6 na mrejesho mzuri
Dah!jirani yangu anafanya hiyo biashara juzi nilikuta waive kaninunulia kama hizo 3 in1 nikamwambia ulinunua wapi kaniambia jirani kaniuzia kwa mkopo ili uvae,nikamwambia hapana yaani jirani yako hadi ajue mume wako leo kavaa nguo gani ya ndani huko ni kuchorana tu,nikamwambia mrudishie nakupa elf15 nenda dukani kanichagulie
Mama Asha? Ila ye hana Msc...ni nan huyo? Yuko area ipiWazo zuri mkuu hakuna kupata kudogo. Mi Kuna dada kani-inspire pale morogoro. Ye kaanzisha kijiwe Cha pilau tu, kuanzia saa nne asubuhi Hadi usiku Ni mwendo wa pilau na anauza kwa buku buku tu. Watu wanajaa hatari, yule dada anaweza kua anaangusha faida mpaka 50k kwa siku. Huwezi amini Ana Masters kabisa.
Vibaya mno..ni mbingu na ardhi...ila mie katika maisha ya biashara naona biashara za kujilipua pays a lot..sio hizi za makaratasi sijui utafute kipenyo ..yaan namanisha ukiwa na wazo na linakusumbua sana hulali unaliwaza basi usilikawize jilipue zege halilali...utakutana na michangamoto komaa nayo tu mradi una passion na unachokifanya..hizi mambo za kuandika upate ushauri kwangu naonaga nux kishenzi...maana wakosoaji tupo tuBiashara katika kichwa ni simple Sana ila katika utekelezaji ni ngumu sana