Pombe ya Banana yawamaliza vijana Kilimanjaro

101 East

JF-Expert Member
Feb 25, 2015
1,040
2,121
Sema alaaniwe sana aliyewaletea vijana wa Kilimanjaro hii pombe inaitwa "Banana"... Vijana wanaisha.
Inasemekana Ubaya wa banana ukishaanza kuzinywa unakua na ugomvi na kuoga. Wanywa banana wengi utasema wana allergy na maji.

Hii kitu ina hasira sana wanaotumia hii wengi wanakuaga kama watu wa madawa ya kulevya. Sababu ya China kuweka sheria ya kunyonga kwa wafanyabiashara wa madawa ya kulevya yalikua wanauwa kabisa nguvu kazi yao yaani vijana kama taifa lenye maono na linahitaji vijana likaanza kuwalinda kwa sheria kali hii pombe pale china haitoboi.

20231023_125210.jpg
 
Sema alaaniwe sana aliyewaletea vijana wa Kilimanjaro hii pombe inaitwa "Banana"... Vijana wanaisha.
Inasemekana Ubaya wa banana ukishaanza kuzinywa unakua na ugomvi na kuoga.wanywa banana wengi utasema wana allergy na maji
Hii kitu ina hasira sana wanaotumia hii wengi wanakuaga kama watu wa madawa ya kulevya
Sababu ya china kuweka sheria ya kunyonga kwa wafanyabiashara wa madawa ya kulevya yalikua wanauwa kabisa nguvu kazi yao yaani vijana kama taifa lenye maono na linahitaji vijana likaanza kuwalinda kwa sheria kali hii pombe pale china haitoboi.

.View attachment 2790169
Mbona ina rangi zote bendera ya Chama kubwa?
 
Banana wine pekee haina nguvu kiasi hicho, hiyo lazima kuna uhuni wanafanya kuiboost na spirit.
 
Back
Top Bottom