Kwamba bado wanatafuta kuwasingizia chadema japokuwa viongoz wake walikuwa ndani?Muda utaongea.............,
Spacetime kama alivyosema Albert Einstein
Mnajitahidi kuitenganisha chadema na oktoba 29,lakini ukweli mnaujua,na wakifuta huo upuuzi litakua jambo la maana sana,bila no reforms no election, tukiwashe pasikalike na tutazuwia uchaguzi by any means pasingekua na kilichotokeaKwamba bado wanatafuta kuwasingizia chadema japokuwa viongoz wake walikuwa ndani?
Blah blah blah story nyingiMnajitahidi kuitenganisha chadema na oktoba 29,lakini ukweli mnaujua,na wakifuta huo upuuzi litakua jambo la maana sana,bila no reforms no election, tukiwashe pasikalike na tutazuwia uchaguzi by any means pasingekua na kilichotokea
Hizi ndiyo blah blahBlah blah blah story nyingi
Chama kilioigwa stop na mahakama, viongoz wakawekwa ndani kwa kesi mbali mbali . All yote wanafanyiwa kabla ya oct 29
Halaf unakuja hapa una facts huna point yoyote, eti ukweli sijui umefanyaje
Huu si muda wa kusikiliza hadithi na propaganda
No room for excuse bro
Uko sahihi. Lakini kumbuka haya yote yanatokea ili CCM ifutike. Yaani wameshafikia no turning point na wengi ya viongozi wake ni mazuzu wasio na weledi wowote.Always solution zao huwa zinaleta matatizo zaidi kuliko kutatua matatizo
Hii itaharakaisha maangamizi ya CCM.Muda utaongea.............,
Spacetime kama alivyosema Albert Einstein
Ni suala la muda tuUko sahihi. Lakini kumbuka haya yote yanatokea ili CCM ifutike. Yaani wameshafikia no turning point na wengi ya viongozi wake ni mazuzu wasio na weledi wowote.
Ni kweli hao tume watakuja na taarifa kwmb chadema ndo waliopanga maandamano halafu ifutwe kama mapendekezo bt hawawezi kuifuta hawataweza abadani wangeshaifuta ktambo sn ila kwasasa hawana ubavu huo maana wameshajua bila chadema kwny uchaguz hawatoboi si unaona wanavyoweweseka na utawala wao wamejfunza kwmb chadema na ccm ni kama russia na USA hakuna wakuruhusu makabiliano krahisi wote ni ma giant wakiifuta bs wale watanganyika vijana wenye imani na chadema ni rahis sn kuingia mstuni yan ni kugusa tu ukjumlisha na yale ya mo29 patachmbka.