Wazo: Imeundwa kuifuta Chadema

Wazo: Imeundwa kuifuta Chadema

Wanataka kutengeneza guerrilla war ?
 
Muda utaongea.............,

Spacetime kama alivyosema Albert Einstein
1. Haiwezekani!! kama wangetaka kuifuta chadema wangeshafanya zamani sana, mbona kwa sasa wamekizuia kisifanye shughuli yoyote bila sababu za msingi? So haihitaji kamati iundwe ili kujustify kukifuta.

2. CCM wanahofia backlash maana CHADEMA ni organised political party. So uwepo wao unasaidia kucontrol wafuasi wao ambao kwa sasa ni wengi kuliko CCM. Sasa hofu ya CCM ukiifuta chadema hao wafuasi wake hawataweza tena kuwa controlled na yoyote ndio yatatokea kama yale ya oktoba 29. Maana unashindwa kujua nani ndio muasisi wa maandamano, nani kiongozi, nani wa kuongea naye n.k, itakua vurugu tupu.

3. Pona yao ni CHADEMA iwepo ili iweze kuorganize hizo frustration za raia kwenye box la kura na sio kwenye sheli au ofisi za serikali!!

Maamuzi ni yao!!
 
Ninachoelewa tume yao itakuja na mapendekezo ya kuifungulia kesi chadema na viongoz bnafs wa chadema sasa hzo kesi ztakuwa na mambo kadhaa ikiwemo chadema kutofanya siasa mpk kesi iishe, viongoz kutojihusisha na siasa mpk kesi iishe hz kesi zlizopo naona zmefka mwsho ztafutwa sku si nyng ksha tume ndo wataleta kesi mpya ambazo uwenda ztachukua hata miaka 4 kuisha lengo ni kuzuia harakati za chadema na akna heche ili mnywa damu atawale kwa utulivu bila bughuza mpk amalize miaka 5, bt ccm ndo imefka mwsho mbnu yao 1 tu ndo imebaki ya mahakama maana uko waamuz wote ni makada wa ccm hii ikiisha hawana jipya tn watapgwa mapema sn, mbnu ya kura, polisi imeisha kwny mo29 hawawez itumia tena maana imeshashndwa kuwasaidia na matokeo ya mbnu kura fake na polisi ndo vnawatesa kwasasa, mbnu ya kuitenga chadema na kuipuuza nayo imeisha, mbnu ya kumtumia mbowe
holaaaa..
CCM imeshazikwa na wananchi
 
Attachments

  • CHADEMA_ SAMIA Apanga Kukifuta Chama _ Meseji HATARI za Tume _ USA Yatengua MATRILIONI kwa Tan...mp4
    50.6 MB
Muda utaongea.............,

Spacetime kama alivyosema Albert Einstein
CHADEMA sio kama itafutwa, bali maono ya Magufuli ndio yanatimia. CHADEMA itakufa yenyewe.
Kama waasisi wake na mwenyekiti aliyekuwa mwenye kiti kwa zaidi ya miaka 20, katolewa katika uongozi kwa matusi katika kampeni za uchaguzi wa M/Kiti. Na toka atoke yupo kimya mpaka leo.
HIZI NDIO ISHARA YA CHADEMA KUFA YENYEWE. Kinachoendelea ni kutapatapa tu.
 
Mnajitahidi kuitenganisha chadema na oktoba 29,lakini ukweli mnaujua,na wakifuta huo upuuzi litakua jambo la maana sana,bila no reforms no election, tukiwashe pasikalike na tutazuwia uchaguzi by any means pasingekua na kilichotokea
Mbona viongozi wote walikuwa ndani Sheikh, muda gani wakihamisha maandamano? CCM ni majitu mapumbavu sasa hivi yanatapatapa! Kuifuta CHADEMA vijana watawatoa madarakani! Imegundulika kwamba ccm haina watu!
 
CHADEMA sio kama itafutwa, bali maono ya Magufuli ndio yanatimia. CHADEMA itakufa yenyewe.
Kama waasisi wake na mwenyekiti aliyekuwa mwenye kiti kwa zaidi ya miaka 20, katolewa katika uongozi kwa matusi katika kampeni za uchaguzi wa M/Kiti. Na toka atoke yupo kimya mpaka leo.
HIZI NDIO ISHARA YA CHADEMA KUFA YENYEWE. Kinachoendelea ni kutapatapa tu.
Akili kisoda!
 
Njia ya uhakika ya kuwapambania GEN Z ni kuhakikisha , tunawazuia kufanya vurugu na maandamano ili wasiuliwe na kupata ulemavu au kuishia magerezani Kama sisi tulivyoishi na kuwaona wajukuu na wao wanabidi kuishi sisi watu wazima tuache ubinafsi mbona watoto wetu tunawalinda na hawakuuliwa ile trh 29/10 iweje tupende kuona watoto wa wenzetu tukiwatuma barabarani wazazi tukatae hii dhambi
 
Nakazia tu.
Njia nyingine ya kuwaepusha na vifo, ni kwa hawa vijana kuwapa masherti wakaa kutwa kwenye key board kuwapeleka mstari wa mbele watoto wao katika maandamano. Warudi nyumbani watoto waliokuwa Ubelgiji na waje kuwa mstari wa mbele.
 
Back
Top Bottom