mchukiaufisadi
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 546
- 193
Rais JK alichangua board ya kusimamia social security funds. Ninakumbuka mkurugenzi wake anaitwa Irene. Mojawapo ya majukumu ya kuanzisha hiyo board ni ku harmonize mafao yanayotelewa na mifuko hiyo PSPF, PPF, NSSF, LAPF etc. Kulikuwa na madai kwamba PPF ndiyo mfuko unaopunja mafao kuliko mifuko yote. Therefore ikatakiwa iwepo formula moja itakayotumiwa na mifuko hiyo.
Lakini tangia huyu mama achanguliwe hakuna jambo lolote alilofanya. Alipewa miezi mitatu akalimishe hilo zoezi lakini hadi hii leo bado. Kila siku anaoneakana kwenye makongomano tu. Nina wasiwasi huendwa ameshahongwa na PPF maana wanapinga huo mpango wa kuwa na common formula, ili waendelee kufisadi michango yetu wafanyakazi.
UDASA ninafikiri inabidi wazidishe mapambano maana serikali ya Kikwete haina nia ya dhati ya mafao ya wafanyakazui, hasa ukizingatia wakurungezi wa mifuko hiyo ni wajomba zao akina William (SIC!)
WADAU
Katika hali ya kutisha na kuogofya, DG Erio na kibaraka wake Mganga, wameng'oa komputer za wale wanaowafikilia kuwa walikuwa wanaandika humu kwenye JF.
Sasa hivi wanaendesha PPF kama duka la mhindi. Mzee Oming'o wamemlazimisha kustaafu
Aisee hizi habari ni za kushtua na kusikitisha sana kwa kweli...!
Sidhani kama kuna nchi tajiri duniani kama Tanzania. Huu wizi na ufisadi amabo kila sehemu unaonekana kushamiri sijui utaisha lini...! Hii habari inaonekana inaukweli wake kabisa....! Aisee tuwekee hio audit report ili tuweze kuichambua vizuri kaka...!
Wewe hizo habari umezipata wapi?
Nijuavyo mimi mafao ya bodi hupangwa na bodi inayofuata.
Haiwezi kuwa 200m labda useme bodi yote wamelipwa hizo pesa ambayo ni total amount.
Acheni kutuletea habari za tetesi
Wana JF,
Kasi na nguvu ya pale mwanzo juu ya uchangiaji wa hizi topic unakuwa siyo kamilifu kwani kuna muda topic inapotea kabisa ukiuliza eti kuna vitisho toka kwa watu fulani, basi nafikiri JK angekuwa mtu wa kwanza kuifungia JF kwa jinsi anavyo-chakachuliwa na JF na magazeti asilimia 70 ya magazeti yote yanayo mwandika yangefungiwa na kushitakiwa atakuwa huyu jamaa Erio na vibaraka wake.
Serikali ichukue hatua za haraka kulinusuru shirika kwa kuondoa utawala mzima kwani fitina, chuki na ufisadi ni kama agenda ya viongozi wa ppf.
Hivi ule mgomo wa waadhiri wa vyuo vikuu vya umma kugomea mfuko huu na kutaka kufanyiwe mabadiliko uliishia wapi? Maana walijitahidi sana kuhainisha mapungufu ya mfuko huu na kuonyesha wizi unaofanyika. Laiti wafanyakazi wanaochangia mfuko huu wangejua mapungufu yake, sidhani kama amani ingekuwepo.
MAUNDUMULA ndugu yangu,
Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza.
Bora ingekuwa wamelipwa Bodi, sio bodi ni wakurugenzi watendaji tu. Walijilipa kwa kupindisha taratibu za mafao hayo. Wafanyakazi wa mikataba, wanastahili Gratuity sio group endowment kama walivyo fanya. Huu ni wizi wa mchana. Baada ya Mwenyekiti wa Audit Commettee kuhoji tu, wote wakapelekwa Johanesburg kula kuku.
Waliolipwa ni kama ifuatavyo:
Mwaka 2008:
1. Baduru Msangi -Mkurugenzi wa Pensions Tshs. 220,000,000
2.Hossea kashimba -Chief Internal auditor Tshs. 220,000,000
3. Michael Mjinja- Director of Commercial Services-Tshs 172, 000,000
4. Charles Chenza-Director of Investiments- Tshs 172, 000,000
5. Martin Mmari Director of Finance Tshs. 172,000,000
6. Carina Wangwe-Director of computer Services. Tshs. 130,000,000
Mwaka 2010
Wiliam Erio. Director General- Tshs 520,000,000.
Unashangaa milioni 200?
Mwezi huu mwishoni wanagawana tena maana wametengeneza kamfereji.
Waziri wa fedha walimzima kwa kumnunulia Laptop.
Serikari iangalie kama ni sawa, mzee msitaafu alipwe Tshs 50,000 kwa mwezi na hawa wajigawie Mil. 200, kila miaka mitatu.
Unacheza na jeuri ya pesa wewe? ushawahi kulisikia hilo suala limetangazwa na gazeti lolote au Tv yoyote? Hawa jamaa washawanunua waandishi karibia wote na hasa wahariri, wakitaka kuandiaka tu, wanapewa semina elekezi ya jinsi ya kuandika habari zinazohusu PPF! Wachingiaji wa PPF waamke sasa, na kupaza sauti zao!
Mama Mdogo,
Ni amini Usiamini, I had to ask twice, Ni kweli! Ni kweli! the answer was Yes! Yes! 200 mil NOT 20 or 2 mil. Ni mia mbili!
Naifanyia kazi kutafuta doc. husika ili nizimwage JF.
Kuna mtu pale Chuo chetu Kikuu -UD alalama kwamba those wajumbe wa bodi wamekuwa kama kamati ya Olympic. hawatoki ili kulinda siri za bodi. na somehow, PPF management inawazawadia some sort of ufisadi, ili ku-maintain secrecy.
Particularly was complaining on the behaviour of Prof. Koda ambaye she don't care. Hana tena utetezi wa wanachama walio elimu ya juu bali ni mwanachama anayendeleza ufisadi.
subirini
MAUNDUMULA ndugu yangu,
Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza.
Waliolipwa ni kama ifuatavyo:
Mwaka 2008:
1. Baduru Msangi -Mkurugenzi wa Pensions Tshs. 220,000,000
2.Hossea kashimba -Chief Internal auditor Tshs. 220,000,000
3. Michael Mjinja- Director of Commercial Services-Tshs 172, 000,000
4. Charles Chenza-Director of Investiments- Tshs 172, 000,000
5. Martin Mmari Director of Finance Tshs. 172,000,000
6. Carina Wangwe-Director of computer Services. Tshs. 130,000,000
Mwaka 2010
Wiliam Erio. Director General- Tshs 520,000,000.
Mwezi huu mwishoni wanagawana tena maana wametengeneza kamfereji.