Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 43,530 Reaction score 103,063 Yesterday at 10:28 AM #61 toriyama said: Tuzidi kumuombea Sana, Mhe. Majaliwa Click to expand... Kila mtu atakufa kwa wakati wake, uombewe usiombewe utakufa tuu
toriyama said: Tuzidi kumuombea Sana, Mhe. Majaliwa Click to expand... Kila mtu atakufa kwa wakati wake, uombewe usiombewe utakufa tuu
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,249 Reaction score 108,221 Yesterday at 10:28 AM #62 Apumzike kwa amani huyu mzee... Ingawa alikuwa na vijidharau lakini alikuwa mchapakazi mzuri...
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 43,530 Reaction score 103,063 Yesterday at 10:28 AM #63 incharge said: Kwa kawaida mtu anayejiona na kujiita ana akili ndio huwa oppisite Yani kitendo tu cha kujiona una akili kuliko wengine inamaanisha the opposite Click to expand... Upo sahihi
incharge said: Kwa kawaida mtu anayejiona na kujiita ana akili ndio huwa oppisite Yani kitendo tu cha kujiona una akili kuliko wengine inamaanisha the opposite Click to expand... Upo sahihi
Jesus servant New Member Joined Mar 15, 2026 Posts 4 Reaction score 8 Yesterday at 10:29 AM #64 Alale salama
M Master Race Senior Member Joined Feb 19, 2026 Posts 170 Reaction score 362 Yesterday at 10:30 AM #65 Such is life, those who clings to death, live....those who clings to life, die...
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 43,530 Reaction score 103,063 Yesterday at 10:30 AM #66 Kipunguny said: Niliona unabii kwenye channel ya Haleluyah TV kuhusiana na vifo vya wabunge wa chama tawala. Click to expand... Weka humu hii comment yako 🗑️ Kwamba nani hatokufa?
Kipunguny said: Niliona unabii kwenye channel ya Haleluyah TV kuhusiana na vifo vya wabunge wa chama tawala. Click to expand... Weka humu hii comment yako 🗑️ Kwamba nani hatokufa?
Blockchain JF-Expert Member Joined Feb 27, 2026 Posts 226 Reaction score 669 Yesterday at 10:30 AM #67 Harmful said: Ila kifo hakibagui 🙌🏾 Click to expand... Kina bagua mkuu, angalia ndugu zetu wa 29 October kilivyo wafanya ? ndio utaona ubaguzi wa kifo katika style
Harmful said: Ila kifo hakibagui 🙌🏾 Click to expand... Kina bagua mkuu, angalia ndugu zetu wa 29 October kilivyo wafanya ? ndio utaona ubaguzi wa kifo katika style
Holoholo JF-Expert Member Joined May 10, 2023 Posts 6,716 Reaction score 13,704 Yesterday at 10:31 AM #68 Amefanya makubwa sana kwenye Wizara ya Ardhi,Maendeleo ya Nyumba na Makazi. Pumuzika kwa Amani Shujaa.
Amefanya makubwa sana kwenye Wizara ya Ardhi,Maendeleo ya Nyumba na Makazi. Pumuzika kwa Amani Shujaa.
Gunther Schwagermann JF-Expert Member Joined Aug 25, 2016 Posts 7,336 Reaction score 17,615 Yesterday at 10:32 AM #69 Japokuwa siwapendi CCM ningependa kutoa pole kwa Amos Lukuvi na Norbert Lukuvi kwa kufiwa na Baba yenu mpendwa.
Japokuwa siwapendi CCM ningependa kutoa pole kwa Amos Lukuvi na Norbert Lukuvi kwa kufiwa na Baba yenu mpendwa.
SILLENT KILLER 2 JF-Expert Member Joined Jun 12, 2024 Posts 408 Reaction score 673 Yesterday at 10:32 AM #70 Retired said: Kwani kuna shida? Si amekufa basi! Click to expand... Lakini labda zitakuwa false report..
Retired said: Kwani kuna shida? Si amekufa basi! Click to expand... Lakini labda zitakuwa false report..
H Harmful JF-Expert Member Joined Feb 23, 2025 Posts 4,056 Reaction score 13,042 Yesterday at 10:33 AM #71 Blockchain said: Kina bagua mkuu, angalia ndugu zetu wa 29 October kilivyo wafanya ? ndio utaona ubaguzi wa kifo katika style Click to expand... Kifo hakibagui mkuu anayetamba na asiyetamba wote wanaenda Labda style ya kifo ndiyo hubagua
Blockchain said: Kina bagua mkuu, angalia ndugu zetu wa 29 October kilivyo wafanya ? ndio utaona ubaguzi wa kifo katika style Click to expand... Kifo hakibagui mkuu anayetamba na asiyetamba wote wanaenda Labda style ya kifo ndiyo hubagua
Blockchain JF-Expert Member Joined Feb 27, 2026 Posts 226 Reaction score 669 Yesterday at 10:33 AM #72 Harmful said: Kifo hakibagui mkuu anayetamba na asiyetamba wote wanaenda Labda style ya kifo ndiyo hubagua Click to expand... huo ndio tunaita ubaguzi, yani mateso kabla pumzi haijakata.
Harmful said: Kifo hakibagui mkuu anayetamba na asiyetamba wote wanaenda Labda style ya kifo ndiyo hubagua Click to expand... huo ndio tunaita ubaguzi, yani mateso kabla pumzi haijakata.
R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 50,136 Reaction score 96,161 Yesterday at 10:33 AM #73 Nadhani hakuwa na kejeli na kiburi cha madaraka kama akina Bashite na wengine makatili! kwenye serikali ile ya kuleeeee. Hakuua wapinzani, hakuwakatili wapinzani, nadhani! Apumzike kwa Amani.
Nadhani hakuwa na kejeli na kiburi cha madaraka kama akina Bashite na wengine makatili! kwenye serikali ile ya kuleeeee. Hakuua wapinzani, hakuwakatili wapinzani, nadhani! Apumzike kwa Amani.
R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 50,136 Reaction score 96,161 Yesterday at 10:34 AM #74 SILLENT KILLER 2 said: Lakini labda zitakuwa false report.. Click to expand... Hapana ni kweli...
Khanji kapoor JF-Expert Member Joined Oct 19, 2024 Posts 3,368 Reaction score 8,404 Yesterday at 10:36 AM #75 Wakristo wenye ushawish utamazlizwa na Wana mtandao haya mauaji hayataisha mpaka ile list ikamlishwe na wakrsto walio serikalni Wala hawajashtuka kiuwa wanawindwa
Wakristo wenye ushawish utamazlizwa na Wana mtandao haya mauaji hayataisha mpaka ile list ikamlishwe na wakrsto walio serikalni Wala hawajashtuka kiuwa wanawindwa
SILLENT KILLER 2 JF-Expert Member Joined Jun 12, 2024 Posts 408 Reaction score 673 Yesterday at 10:37 AM #76 Retired said: Hapana ni kweli... Click to expand... Kama ni kweli apumzike kwa amani
M Mtemi Mbojo JF-Expert Member Joined Apr 27, 2017 Posts 2,000 Reaction score 3,328 Yesterday at 10:38 AM #77 Hakika duniani tunapita, ..tutende yalio mema na tujitahidi tuache ALAMA,tena zile nzuri
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 43,530 Reaction score 103,063 Yesterday at 10:39 AM #78 SILLENT KILLER 2 said: Lakini labda zitakuwa false report.. Click to expand... Unataka uone nn ili ujue n kweli?
SILLENT KILLER 2 said: Lakini labda zitakuwa false report.. Click to expand... Unataka uone nn ili ujue n kweli?
Gunther Schwagermann JF-Expert Member Joined Aug 25, 2016 Posts 7,336 Reaction score 17,615 Yesterday at 10:42 AM #79 Khanji kapoor said: Wakristo wenye ushawish utamazlizwa na Wana mtandao haya mauaji hayataisha mpaka ile list ikamlishwe na wakrsto walio serikalni Wala hawajashtuka kiuwa wanawindwa Click to expand... Udini.
Khanji kapoor said: Wakristo wenye ushawish utamazlizwa na Wana mtandao haya mauaji hayataisha mpaka ile list ikamlishwe na wakrsto walio serikalni Wala hawajashtuka kiuwa wanawindwa Click to expand... Udini.
Khanji kapoor JF-Expert Member Joined Oct 19, 2024 Posts 3,368 Reaction score 8,404 Yesterday at 10:42 AM #80 Haya mauaji yamepangwa kwa kimkakati Sana wanampango wakuwamaliza wakrsto wote waliopo kwenye uongozi Hadi kufikia 2030 misheni yao itakuwa imekamilika ili wamuweke mwislam agombee urais job nnduga jenst muhagama willium lukuvi . . . . mtashuhudia mengi na viongozi wa kirsto hawajashtuka kuhusu Hilo sikilizen vizuri hotuba za balozi polepole mtaelewa wanamtandao wanataka nn
Haya mauaji yamepangwa kwa kimkakati Sana wanampango wakuwamaliza wakrsto wote waliopo kwenye uongozi Hadi kufikia 2030 misheni yao itakuwa imekamilika ili wamuweke mwislam agombee urais job nnduga jenst muhagama willium lukuvi . . . . mtashuhudia mengi na viongozi wa kirsto hawajashtuka kuhusu Hilo sikilizen vizuri hotuba za balozi polepole mtaelewa wanamtandao wanataka nn