Waziri Wassira agonga mwamba sakata la uchinjaji nyama Mwanza!

Leo hii viongozi hao wadini wasema ccm ni chama cha waislamu. Alianzisha kikwete acha waendelee
Wenye kuleta udini wana pesa uswis, watoto wanasoma ulaya/marekani, wakiumia wanatibiwa ulaya, wana ulinzi wa kutosha, wana mabunduki vita ikitokea- e mungu epusha mbali sisi waja wako
 
Hawa Ma-al-famlinyat sasa wanataka kutuletea za kuleta!;Wakristo tuwe na mabucha yetu na wao ya kwao tuone nani atakula swaga;Tunakaa kimya wanatuona sisi ni mafala,watatupandia kichwani hawa tusipokua makini!.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Tutanza kuona bucha zimeandikwa majina. Bucha ya Kiislam, Bucha ya Kikiristu.

Na hilo ndio jambo sahihi !
Huku Nyama Halal na huko Nyama Haram !
Haya mambo Moshi- Kiboroloni yamekuwa yakifanyika ! Bucha za kuuza Nyama ya Nguruwe ziliandikwa Bucha za Wakristo !
 
na serikali ifute misamaha ya kodi kwa taasisi za kidini!!!tuone hao wachungaji watakavyong'aka kwa kuwa wameshanunuliwa tayari kuuleta ndoa za mashoga tanzania haswa anglican

Kaka analyze issues kwa hoja acha jazba haisaidii. Pamoja unajiita bongo lala usiwe hivyo.
 
Waislam lazima watambue kwamba, Wakristo wanakula mnyama aliechinjwa na Muislam si kwa maana kwamba Muislam ndio msafi, mwema, ana uhalali huo, isipokuwa Wakristo wanakula ili kuleta amani na Waislam na pia kuwapa fursa ndugu, jamaa, marafiki zao ambao ni Waislam waweze kula nao bila kuathiri imani zao. Ni sababu hiyo na si vinginevyo. Mi niwaombe Wakristo, wamekuwa watu wa amani miaka yote, wasijifunze fujo hata YESU KRISTO alishakataza. Wawaache tu Waislam wachinje kwa faida ya Taifa letu ili kuendeleza umoja na mshikamano na amani.
Wee waache tu !.Wakristo wa leo wala si wakristo kweli.Wako karibu sana na freemason.Hawana hekima wala kumbukumbu vyema.
Tabia za wakristo wa sasa zimesaidia sana kuujenga uislamu.Ni hekima za ALLAH (S.W).Hali hii inaujenga uislamu kwa kuujulisha kwa watu wenye akili kuwa ndio dini ya haki.Sambamba na hilo waislamu wanazidi kuteseka kutokana na ubabe wa wakristo feki kwani ndio wameshika mpini.
Sababu ya kusema hivyo ni mawazo yao juu ya masuala mengine yanayoisibu nchi yetu ambayo wengine wanaita ni udini.Ukija suala la hospitali za kimisheni ambazo bajeti zaidi ya nusu inakwenda huko wanatetea ati ni sawa kwa vile wanaofaidika ni watanzania wote.Waislamu wakienda wanatibiwa bila ubaguzi kama ni kweli.
Kwa akili zao mbovu wamesahau jambo kubwa lenye kufaidisha imani yao kwa faida ndogo ya kuchinja ambapo hata maaskofu wakikomaa vipi hawataweza kuwaridhisha waislamu kula nyama iliyochinjwa nao.Suala la uchinjaji ambalo wala hawana maandiko kulitetea kama ilivyo kwa waislamu wameliona bora kulishikia bango wakisahau kuwa waislamu wanadhulumika na makubwa kuliko hilo.
Ukiwa mtu mwenye busara utagundua upungufu mkubwa wa hekima wa wakristo kwani wanasisitiza kuchinja nyama ya biashara inayouzwa kwa watu wote kumbe hawakatazwi kuchinja nyama ya kula peke yao.Halafu kwenye machinjio kuna ajira kiasi gani ukilinganisha na ajira za mamilioni wanazozikosa waislamu na si kwa vigezo kama vya uchinjaji bali kwa ubaguzi tu wa kidini.
 
Hawa Ma-al-famlinyat sasa wanataka kutuletea za kuleta!;Wakristo tuwe na mabucha yetu na wao ya kwao tuone nani atakula swaga;Tunakaa kimya wanatuona sisi ni mafala,watatupandia kichwani hawa tusipokua makini!.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Mbona mnachelewa ! Nyie andikeni tu, 'Nyama Haram inapatikana hapa'
 
Tusipoangalia kitu kidogo ambacho hakina madhara kita kuja kutugawa wakati miaka nenda rudi tunaelewa sehemu yenye waislamu mchinjaji ni muislamu wa wakristo hawalalamiki sasa hili linatokea wapi? Wasira waliomtumia kusuluhisha ndio kapambambisha kabisa badala ya kusuluhisha na ndie alikuwa muenezaji mkuu wa udini.
 
Na hilo ndio jambo sahihi !
Huku Nyama Halal na huko Nyama Haram !
Haya mambo Moshi- Kiboroloni yamekuwa yakifanyika ! Bucha za kuuza Nyama ya Nguruwe ziliandikwa Bucha za Wakristo !

Hata ukisafiri Asia, Ulaya, lazima utakuta halal food tena wanakula wakiristu na waislam kwa wingi.
 
sitakula tena chakula nyumbani kwa mkristo maana huenda amechinja mwenyewe,nyama itakua sii halal!!!nani anataka kula kibudu

kama mnataka tuwape kibali cha kuchinja sharti mkubali mtuchinjie na nguruwe,
 
Wasira bora tu asingeenda, naona ameharibu zaidi badala ya kujenga.!
 
Yaani kuchinja umekuita jambo la kijinga !
Hapo kabla na mpaka sasa ni nani alipewa jukumu la kuchinja ?
Kwetu sisi Waislaam kuchinja ni Ibada na kuna nidhamu yake, nyie ni tofauti kwani Biblia imewaruhusu kula chochote hata vibudu ! Na m'mepewa maelekezo na Biblia msiulize wakati sisi ni lazima tujue nani 'mchinjaji'
Tatizo mmekalia Agano la Kale tu. Hakuna popote katika Biblia ambapo Mkristo karuhusiwa kula kibudu. Labda utoe tafsiri ya kibudu. Ni kweli nakumbuka tangu utoto, mtu (hata mkristo) akitaka kuchinja hata kuku humwita japo kijana wa kiislam ili kufanya hivyo. Sioni mantiki yake hata sasa. Pia kuna swali limeulizwa hapo juu. Ng'ombe katokea kwa wamasai (wamasai ni wakristo) au usukumani (wasukuma wengi wakristo). Ng'ombe kalelewa na mkristo hadi kafikia kuchinjwa. Mbona msipinge huyo ng'ombe kuwa chini ya mkrito? Mnajua mkristo alimlisha nini? Mbona maziwa mnanunua kwa wakristo? Ibada ni nyama tu au kila kitokacho kwenye mfugo?
 
Kaka analyze issues kwa hoja acha jazba haisaidii. Pamoja unajiita bongo lala usiwe hivyo.
Unamtaka mwenzako a-analyse issues kwa hoja juu ya misamaha ya kodi.Hebu hiyo kazi ya kuanalyse kwa misamaha ya kodi anza wewe.
 
Kama kuna sehem kuna kibudu cha swala au any wild animal mniite nina hamu ya zile nyama fulani,hata kama kachinja m'budha au mpagani.
 
na serikali ifute misamaha ya kodi kwa taasisi za kidini!!!tuone hao wachungaji watakavyong'aka kwa kuwa wameshanunuliwa tayari kuuleta ndoa za mashoga tanzania haswa anglican

Mimi najiuliza swali, katika kuran tukufu haizungumzii ubaguzi wa kijinga naman hii, sasa haya yanatoka wapi? Je ni kale ka ujira kadogo baada ya kuchinja ama ni kule kutimiza ibada yao? na kama ndo hivyo, kweli mtu anategemea kuishi kwa ujira wa kuchinja wanyama tena kwa kudoea!! ooh my God! ama kama ndo ibada sasa iweje wawalazimishe na wasio waislam kushiriki katika ibada zao?? Real this is pity!!
Ushauri wangu, viongozi wote wa sirikali tiini KATIBA mlioapa kwayo ambayo inatamuka wazi kuwa serikali haina dini!!! na kila mtu anastahili heshima na kutambuliwa utu wake, swala la kuchinja waachienei wafanya biashara wafanye shughuli zao na si nginevyo, huwezi kuwa ikulu halafu ukaanza kuwachagulia wafanya biashar mbinu za biashara zao za nyama!!!.

Pia, mbona wa tz tuanang'ang'a mambo ya mwaka arobaini na saba, yaani mataifa mengine yanaenda na technolojia nyie mnakazania kuchinja manually, mmesahau kuwa kuna mashine za kuchinja? nazo mtasema zimetengenezwa na makafiri hatuzitaki, ama mtazisilimishaaaaaaaaa!!!! mambo hayo.
Swala la kuchinja ni mtu yoyote anayeona kuwa anaiweza hiyo kazi na singinevyo!!!!

SAA YA UKOMBOZI NI SASA!! MUNGU IBARIKI TZ MUNGU WABARIKI WAPENDA AMANI!!!!!!!
 
Mbona mnachelewa ! Nyie andikeni tu, 'Nyama Haram inapatikana hapa'
'Nyama haram kwa waislam'. Tatizo la waislamu wao wanaona dhambi ni nguruwe tu... Wakati wana vingi wamekatazwa lakini tunashinda nao kwenye hivyo vitu... Hiyo hiyo kitimoto wakati wa mfungo mauzo yanapungu, hii tafsiri yake ni nini...??

Tunakoelekea haya mambo yasiyotajwa kwenye katiba ya nchi ndo yatatupeleka pabaya. Suala si bucha iandikwe ya wakristu, bali hicho kilichomo kipoje? Maana wafanyabiashara wakristu kwa waislamu wanatuuzia visivyochinjwa mnavyotaka. Tatizo mnadhani waislam kwa waislam hamlisha vibudu... Mnakoelekea matataka hadi nyumba ziandikwe ya mkristu au ya muislam..
 
sitakula tena chakula nyumbani kwa mkristo maana huenda amechinja mwenyewe,nyama itakua sii halal!!!nani anataka kula kibudu

Kabla cjaenda ndani zaidi, Bongolaka mm nnanashaka na uwezo wako wa kufikiri na upeo wako katika kupambanua maandiko katika Imani yako.
Hao wa dini yako walienda fanya nn kwa Mchungaji km si ulafi?!
Sasa mm ningeomba ninapoendelea kuisoma hii mada, naomba hao wa Dini yako wakaanze kazi pale vingunguti machinjioni.
 
Mambo haya tuweke mabucha ya waislam na mengine ya wakristo kumaliza utata huu.
 
Back
Top Bottom