Waziri wa Usafirishaji wa Malaysia: Plane still missing!

Waziri wa Usafirishaji wa Malaysia: Plane still missing!

kiparah

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2010
Posts
1,173
Reaction score
117
Waziri wa Usafirishaji wa Malaysia anafanya live press conference kuhusu kupotea kwa ndege yao tangu Jumamosi, lakini habari ni ile ile still missing.

Anasema nchi 12 zimeungana katika kuitafuta ndege hiyo, meli 42na ndege 39 wanaendelea kuitafuta ndege yao. Lakini still missing.

Hii ndege imekwenda wapi? Maana mimi naifutilia sana hii bahari kwa kweli nina interest nayo!
 
Naona Waandishi wamekuwa wakali kweli, Waziri anajibu kuwatuliza na maswali hayo hapa
 
Bado tunaitafuta mkuu.......licha ya kuwa interested kujua........nimeona nishiriki kabisa........
 
Pilot of missing Malaysian flight an aviation tech geek
Waziri wa Usafirishaji wa Malaysia anafanya live press conference kuhusu kupotea kwa ndege yao tangu Jumamosi, lakini habari ni ile ile still missing.

Anasema nchi 12 zimeungana katika kuitafuta ndege hiyo, meli 42na ndege 39 wanaendelea kuitafuta ndege yao. Lakini still missing.

Hii ndege imekwenda wapi? Maana mimi naifutilia sana hii bahari kwa kweli nina interest nayo!
 
Jamani na maombi watu wa Mungu pengine Mungu naye anataka kuonesha ukuu wake maana wanadamu siku hizi mmm!!
 
Ehh mxenyezi mungu wanasulu abilia hawa....ingekuwa Africa maneno yangekuwa mengi mno.
 
Hii sidhani kama ilishawahi kutokea hapo awali kwa ndege kupotea na kutoonekana kabisa kama kumbukumbu zipo mtujuze tafadhali
 
Kuna taarifa kwamba imepotelea mashariki ya mbali.
 
Hapo ndipo watu watakapokubalia kwamba vita ya kupambana na ugaidi ni ngoma nzito...

Labda tumwombe Kificho wa dunia atuundie kamati ya maridhiano....
 
Back
Top Bottom