Waziri wa Usafirishaji wa Malaysia: Plane still missing!

Waziri wa Usafirishaji wa Malaysia: Plane still missing!

Waziri wa Usafirishaji wa Malaysia anafanya live press conference kuhusu kupotea kwa ndege yao tangu Jumamosi, lakini habari ni ile ile still missing.

Anasema nchi 12 zimeungana katika kuitafuta ndege hiyo, meli 42na ndege 39 wanaendelea kuitafuta ndege yao. Lakini still missing.

Hii ndege imekwenda wapi? Maana mimi naifutilia sana hii bahari kwa kweli nina interest nayo!

Jaribu ku-Google '' Bermuda Triangle''
Ili ujue Mungu aliumba vinavyoonekana na visivyoonekana.
 
Mpaka sasa tumeamua kumwita mganga mashuhuri Malaysia..(mchawi mkuu)......amepiga ramli kutumia madafu badala ya nazi......hii inadhihirisha bila chenga.......ndani ya masaa machache ndege itaonekana.......
 
Back
Top Bottom