My take!
Je, Zelensky anawaza nini mpaka kuamua kuanza kushambulia Urus wakati anajua kabisa Putin alishaonya hataki Urusi ishambuliwe?
Putin na Zelensky fanyeni mazungumzo hatutaki vita vikubwa.
Habari kamili.
Rais wa Ukraine Volodymr Zelensky ameonya kwamba vita vinakuja nchini Urusi baada ya shambulio la mapema la ndege zisizo na rubani kwenye mji mkuu wa Moscow.
Bw Zelensky alisema mashambulizi dhidi ya eneo la Urusi ni "mchakato usioepukika, wa asili na wa haki kabisa" wa vita kati ya nchi hizo mbili.
Wizara ya ulinzi ya Urusi ilisema ndege tatu zisizo na rubani za Ukraine zilidunguliwa siku ya Jumapili, na mbili zilianguka kwenye afisi.
Uwanja wa ndege wa Vnukovo, kusini magharibi katikati mwa jiji, pia ulifungwa kwa muda mfupi.
Meya wa jiji hilo Sergei Sobyanin alisema maeneo ya mbele ya majengo mawili ya ofisi yaliharibiwa kidogo.
Picha kutoka eneo la tukio zinaonyesha kuwa madirisha kadhaa yameharibiwa kwenye kona ya majengo, na uchafu umetawanyika chini.
Chanzo: BBC Swahili
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app