Waziri wa Ulinzi Israel asema wamemuuwa Mkuu wa Ulinzi wa Iran, Ali Larijani

inchaji

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2019
Posts
2,628
Reaction score
5,425
Waziri wa Ulinzi wa Israel, Israel Katz, amesema leo Machi 17, 2026 kuwa mkuu wa usalama wa Iran, Ali Larijani, ameuawa katika shambulio la Israel.

Ali Larijani amekuwa akijulikana kwa miongo kadhaa kama kiongozi mwenye msimamo wa wastani na mtazamo wa kimkakati ndani ya uongozi wa Iran. Amewahi pia kuwa katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa, akichangia kwa kiasi kikubwa kuongoza mkakati wa nchi hiyo wakati wa vita kati ya Marekani, Israel na Iran.

Mara ya mwisho Larijani alionekana Ijumaa, alipohudhuria maandamano ya Siku ya Al-Quds ya kuunga mkono Wapalestina mjini Tehran, pamoja na Rais Masoud Pezeshkian.

Mapema leo Jeshi la Israel ilitangaza kumuuwa Kamanda wa Kikosi Cha Basij, Gholamreza Soleimani

Soma pia Jeshi la Israel yadai kumuua Kamanda wa kikosi cha Basij ya Iran (IRGC)

1773741599264.png
 
=============

Israel’s Defence Minister Katz has just said that Iran’s security chief Ali Larijani has been killed.

There has been no comment from Iran yet.

Known for decades as a measured, pragmatic figure within Iran’s establishment, Ali Larijani has been secretary of the Supreme National Security Council, helping steer the country’s strategy amid the US-Israeli war on Iran.

Source: Al Jazeera
 
Juzi tu alikuwa akitoa kauli kali na za kijeuri dhidi ya Marekani na Israel akikana kwamba hakutakuwa na mazungumzo na Marekani na kwamba vita vitaendelea na sasa amepelekwa kwa mabikra 72 wenye macho kama mayai.
 
Waziri wa Ulinzi wa Israel, Israel Katz, amesema leo Machi 17, 2026 kuwa mkuu wa usalama wa Iran, Ali Larijani, ameuawa katika shambulio la Israel.

Ali Larijani amekuwa akijulikana kwa miongo kadhaa kama kiongozi mwenye msimamo wa wastani na mtazamo wa kimkakati ndani ya uongozi wa Iran. Amewahi pia kuwa katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa, akichangia kwa kiasi kikubwa kuongoza mkakati wa nchi hiyo wakati wa vita kati ya Marekani, Israel na Iran.

Awali leo Jeshi la Israel ilitangaza kumuuwa Kamanda wa Kikosi Cha Basij, Gholamreza Soleimani

Soma pia Jeshi la Israel yadai kumuua Kamanda wa kikosi cha Basij ya Iran (IRGC)

=============

Israel’s Defence Minister Katz has just said that Iran’s security chief Ali Larijani has been killed.

There has been no comment from Iran yet.

Known for decades as a measured, pragmatic figure within Iran’s establishment, Ali Larijani has been secretary of the Supreme National Security Council, helping steer the country’s strategy amid the US-Israeli war on Iran.

Source: Al Jazeera
Huyu jamaa si ndio alikuwa na waandamanaji juzi wakisherekea quds?
 
TAARIFA ZA HIVI PUNDE — JUMANNE, MACHI 17, 2026

Jeshi la Israel (IDF) limethibitisha kufanya mashambulizi ya anga yaliyolenga moja kwa moja makazi ya Ali Larijani, Katibu wa Baraza la Juu la Usalama wa Taifa la Iran. Na Israeli Katz Waziri wa ulinzi wa Israeli ametangaza leo kwamba shambulio hilo limefanikiwa kumuua Al Larijani.

Hatima ya Larijani:

Taarifa kutoka vyombo vya habari vya Israel kama The Jerusalem Post na Times of Israel zinaeleza kuwa:
Alilengwa kikamilifu kwenye shambulio hilo
Lakini bado haijathibitishwa rasmi kama ameuawa au amejeruhiwa.

Kwa mujibu wa ripoti kutoka Al Jazeera, hali ya sintofahamu imeibuka kufuatia shambulio la anga la Israeli lililotekelezwa jijini Tehran, Iran. Na hivyo kupitia tamko la Waziri wa ulinzi wa Israeli, Israeli Katz, kwamba wamemuua Ali Larijan katika shambulio hilo.

Taarifa ya Iran:

Serikali ya Tehran bado haijatoa tamko rasmi, jambo linaloongeza mkanganyiko kuhusu hali halisi.

Lakini ripoti za kiintelijensia zinaonesha uwezekano mkubwa wa kifo chake, lakini bila uthibitisho rasmi kutoka Iran, taarifa hizi bado zipo kwenye kiwango cha tetesi zenye uzito mkubwa (unconfirmed but credible).
 
alikufa ayatullah na vita ikaendelea

Tatizo kwasasa Kuna wimbi kubwa la Mauaji kati ya Wakuu wa Israel na Iran kufikia Sasa wameuwana wengi sana.

Ndiomana ukichunguza ndani ya Israel zile nyuso tunazijua kwasasa uzioni popote ata kwenye mikutano Yao ya kimya kimya.

So hii Vita vikisha tutalajie kuona viongozi wapya pande zote mbili muda ni mwalimu
 
Back
Top Bottom