jaffari yogo
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 685
- 148
Mheshiwa waziri habari za kutwa. Mh. Katika wilaya ya Rorya baadhi ya vijiji wanatozwa pesa za madawati. Ukiuliza mtendaji wa kijiji cha Bwiri kata Bukura Tarafa ya Nyancha anasema wewe muuliza swali hujasoma halafu kama umeonewa ukashitaki mahakamani au umpigie Rais simu kwa madai kuwa ni agizo la mkuu wa wilaya ya Rorya. Tunaomba msaada wako tafadhali.