Waziri wa Mkapa aomba haki itendeke baada ya kudhalilishwa mtandaoni

Ni kweli maybe sejuwi mengi (kind of funny) hiyo statement inajieleza kama una protest and na umezingatia ni wapi na unapinga nini, na bendera lazima iwe yako,Huwezi kukurupuka tuu na kuchoma bendera ya Marekani bila kupitia vipengele vya sheria vinavyo husika. Kama ni rahisi hivyo na kama unavyosema freedom of speech Marekani ipo powa na wewe ungejaribu kuchoma mbele ya wamarekani wenyewe au polisi.
Hakuna kinachokataza mimi kuchoma bendera yangu ya Marekani mbele ya polisi.

Katiba inanilinda kufanya hivyo kwa mujibu wa First Amendment.

Soma nilicholeta hapa on the subject.

Unaweza kupata matatizo kama unachoma bendera ya mtu mwingine, au kama una violate sheria nyingine tofauti, lakini kichoma moto bendera kunatetewa kikatiba.

Sasa kama hujui hilo tu, utajuaje tofauti ya kiutamaduni na kisheria ya free speech Marekani na Tanzania?
 
Kwani Mange ka post nini cha ajabu?

Katika utamaduni wa Kimarekani, kile kinachoitwa kukosa utu na heshima katika utamaduni wa Kitanzania kinaweza kuonekana ni utu na heshima Kimarekani.

Swali kubwa kuliko yote ni, je, alichopost Mange ni kweli au si kweli?
Kiranga umeelezea vizuri sana. Swali lako hilo hakuna anayeweza kujibu isipokuwa anayedaiwa kuwa mdhalilishaji huenda ana ushahidi wa kile alichoandika. Otherwise mengine yote ni rumors.
 
Ha ha ha.... Nshamuonya... Mtu anamkosoa mpaka Mungu mzima kweli.... Eti yule binti wa mama mlaki aliumbwa kwa kutumia ubavu wa mbuta Nanga ndo mana ana sura mbaya!.....kaazi kweli

Hahahahaaaaa, eti aliumbwa kwa ubavu Wa mbuta nanga., kaaazi kweli kweli
 
Huyu mama nilisoma naye sekondari, alikuwa madarasa ya mbele yangu kidogo, nadhani alinitangulia madarasa mawili au moja sikumbuki tena. Ila nilikuwa sijui kuwa kiingereza kinampiga ogoko namna hiyo!

Najua Mange ni mwanamke mwenye matatizo mengi kwa upande wake, ila huyu mama kupiga brokeni ya nguvu hivyo kujibizana na Mange ni aibu kweli kwelikweli. Ni afadhali angeandika kwa kiswahili.

Pale watu wanapoponda kuwa bi mkubwa kaandika broken wakati Mimi naona kama kaandikiwa na Mafia Obama vile. Nahitaji kurudi inglish kozi
 
Haijalishi! Kila mtu anayo haki ya kuheshimiwa faragha yake! That is constitutional!


Huyo baba ake Mange anayetukanwa alilawitiwa ndo akajinyonga hana haki ya faragha? hebu toa povu lako utawala wa awamu hii katiba ipi inaheshimiwa?
 
Mi nilipochoka ni pale mange eti
anasema huyo Nambua hajawahi onja ub.o.l.o na 40 yake coz hakuna eti mwanaume wa kumtongoza!

Eti labda mshua ake ale vitu vyake asije akafa bila kupata ladha ya u.b.o.o!

Kile kidemu kina matusi hadi maiti inaeza fufuka!
 
Sasa dada yangu mpendwa Ritha mbona maneno yako ni ya uchungu sana lkini uchungu wako ungeeleweka kama ungetumia lugha ya nyumbani lakini umewaandikia waingereza nani atakusaidia kuomboleza uzungu mpaka lini mama yangu mpendwa naomba nikukumbushe hapa ni Tanzania na mlibarikiwa kusoma mpo wachache sana kulinganisha na idadi ya watanzania 50M KWAKUWA WEWE NI PUBLIC FIGURE KAMA UNAVYOSEMA MWENYEWE NAAMINI HUHITAJI MWALIMU WA KUKUFUNDISHA HATUA ZA KUCHUKUA TUNASUBIRI TUONE REACTION YAKO WEWE PUBLIC FIGURE.
Hapa ndipo wanaponishangazaga hawa wakishumundu wenzangu yaani wakishajua kutema yai hata kama la kichina basi ni shidaa maneno mawili kingeledha neno moja kiswahili sijui niuite ni ulimbukeni au ushamba .
 
Mi nilipochoka ni pale mange eti
anasema huyo Nambua hajawahi onja ub.o.l.o na 40 yake coz hakuna eti mwanaume wa kumtongoza!

Eti labda mshua ake ale vitu vyake asije akafa bila kupata ladha ya u.b.o.o!

Kile kidemu kina matusi hadi maiti inaeza fufuka!
Huyu bint kwa kweli sijui huwa anajiamini nini yaani sijui labda ana wanaomsapot maana kuna kipindi aliwa kumkashifu kiongozi mmoja hapahapa kwetu Tanzania kipindi cha uchaguzi akaja hapa kwa mbwembwe anataka kugombea ubunge viti maalum akakamatwa na police kwa ajili ya mahojiano kilichoendelea wanakijua wao ila huwa napata kizunguzungu kwa jinsi anvyojiamini .
 
Ha ha ha.... Nshamuonya... Mtu anamkosoa mpaka Mungu mzima kweli.... Eti yule binti wa mama mlaki aliumbwa kwa kutumia ubavu wa mbuta Nanga ndo mana ana sura mbaya!.....kaazi kweli
Nimecheka utadhani mazuri...

Eti kaumbwa kwa kutumia ubavu wa nani???

Hahahahahahah

Sio vizuri kabisa
 
UNAMJUA MANGE Unamsikia wewe? hapo ayakuwa ni yeye kajijibu mwenyewe kwa jina jingine hata huku jamii forums kajaa tele na ma account feki mengi anajisifu na kujijibu mwenyewe,ana diary iliyojaa user names na passwords zake
Mmmh

Umejuaje

Lete ubuyu

Haswa huo wa diary
 
Nimejitahidi kupitia uzi wote mpaka hapa sijaona maneno ya huyo mange aliyoyasema kuhusu huyu mtu, ila kwa haraka nimepata hints
Kikuku, tyiiigo, Serengeti boyz,....
Ngoja niishie hapa
Mwenye screenshot plzzzzzz ni pm
 
Back
Top Bottom