Waziri wa Mambo ya Ndani, aamuru kukamatwa kwa Mchungaji wa Kanisa la Pentecostal Power Ministry

Nyinyi ni wezi wakubwa
Naunga mkono hoja.
Makelele alitakiwa afungie bar kwanza zenye miziki ya makelele halafu aje misikiti halafu kengele za makanisa katoliki ndio aje Jesus power kwa huyo Nabii .Magufuli Mambo ya dini mwambie Lugola akae nayo mbali anataka kuleta vurugu kwenye nchi huyo .Mwondoe mjinga mkubwa huyo.Kwa manabii kaenda mbali mno Magufuli mshughulikie manabii siyo watu watu wa kuchezewa na kupandishamwa defender Kama vibaka
 
Kuna mwingine wa hivyo maeneo ya Block T jijini Mbeya. Kanisa lipo katika makazi ya watu na muziki unapigwa kwa sauti ya juu sana kila siku. Bora Lugola kaagiza oparesheni hii ifanyike mikoa yote.
 
Kangi Lugola hajielewi kushika huyo nabii ndio mwisho wake wa political career atafute Kazi nyingine ya kufanya Hawajui manabii anawasikia kwenye radio.Nimwambie wazi yeye na polisi Sirro na mambosasa handle with Care that prophet .Ya Lugola yamesha Isha his political career is over.Mwanasiasa yeyote anatakiwa kuwa na document mbili katiba na ilani ya CCM .Katiba inasema wazi shughuli za kuabudu na Dini zitakuwa nje ya serikali.Serikali haina dini na haisajili dini hata siku moja inasajili NGO Sio dini.Sababu yeye Kusema hiyo dini ya Jesus power haijasajiliwa imekula kwake.
Nyie ndio manabii fake na maombi yenu ni fake, pumbavu kabsa
 
Mahubiri ya yanawapigia kelele ila Kweupeeeeeeee....Ndugu zangu waisla kumekucha kila siku hazitupigii kelele???
Makanisa, misikiti, baa na majirani(sherehe) wote hawaruhusiwi kupiga kelele, kuwepo sheria(kama haipo) na ifanyiwe kazi ili kudhiti hizo kelele.
Hii kusubiri eti mpaka aje waziri ndiyo akamate muhusika ni kichekesho.
 
Nyie ndio manabii fake na maombi yenu ni fake, pumbavu kabsa
Mtu yuko huru kuabudu cihochte Cha kweli au uongo katiba inaruhusu unaweza abudu ng'ombe,kuku,mti,kaburi ,ngedere au chochote serikali sio padri au Mungu wa kumwelekeza mtu aabudu Nini? Ndio maana katiba inatambua kuwa Mambo ya kuabudu Ni private affairs.Unachoabudu wewe waweza kiona Cha kweli Lakini kwa mwingine Ni Cha uongo.Mfano kwa mwislamu ukristo Ni dini ya uongo na mkristo huona mwislamu dini yake ya uongo tukianza kunyoosheana vidole dini ya Nani ya uongo nchi italipuka vita za kidini kila mtu aabudu atakavyo asivuke mipaka ya kudharau dini au Imani ya mwingine it is non of his or her bussiness.Nabii wetu Mahela serikali imwachilie.Waziri Lugola acha kuanzisha chokochoko za kidini
 
Kama issue ni kelele wamemuonea,misikiti na makanisa kibao yanapiga kelele
Hata kusajili wanamwonea serikali haisajili dini hata siku moja sababu serikali haina dini.Na katiba inatamka wazi kuwa Mambo ya kuabudu serikali haitayaingilia.Hamna kipengele chochote Cha Sheria kinachotaka serikali isajili makanisa au misikiti au mapango ya kuabudia,miti mikubwa wanapokusanyika watu kusali na kutoa kafara zao ,vilinge vya mababu watu wanapokusanyika kuomba mizimu yao,makaburi watu wanapokusanyika kumuomba babu wa babu.Waziri anaposema kanisa halijasajiliwa haelewi anachoongea.Kavunja katiba.Sehemu ya mtu anaposali is a private area.Katiba imetamka kuwa Mambo ya kuabudu Ni mambbo ya kibinafsi.Akitaka kusajiliwa itabidi asajili hadi mibuyu ambako wapagani hukutana kuabudu miungu yao.Mahali anapoabudu mtu Ni private area.Serikali haitakiwi kupaingilia
 
Pole mtumish ni changamoto tu, God will make a way.
Mungu atasimama naye nabii wetu Mahela na kumpigania.Lugola anacheza Kushika nabii Sio issue ndogo .Mungu atasimama tu kwenye hili na Lugola atajua kuwa Yuko Mungu wa manabii
 
Makanisa, misikiti, baa na majirani(sherehe) wote hawaruhusiwi kupiga kelele, kuwepo sheria(kama haipo) na ifanyiwe kazi ili kudhiti hizo kelele.
Hii kusubiri eti mpaka aje waziri ndiyo akamate muhusika ni kichekesho.
Alafu limeenda na Mtumbo wake ulee na lenyewe kumkamata Muhalifu hivi hii Nchi mbona comedy haziishi??? Waziri mwenye dhamana badala ya kukaa ushughulikie mambo ya maana unakosa kazi mpaka Unaenda na mapolisi kumkamata kijana wa watu anahubiri injili eti kisa hana kibali.. Mamaee
 
Mtu yuko huru kuabudu cihochte Cha kweli au uongo katiba inaruhusu unaweza abudu ng'ombe,kuku,mti,kaburi ,ngedere au chochote serikali sio padri au Mungu wa kumwelekeza mtu aabudu Nini? Ndio maana katiba inatambua kuwa Mambo ya kuabudu Ni private affairs.Unachoabudu wewe waweza kiona Cha kweli Lakini kwa mewngine Ni Cha uongo.Mfano kwa mwislamu ukristo Ni dini ya uongo na mkristo huona mwislamu dini yake ya uongo tukianza kunyoosheana vidole dini ya Nani ya uongo nchi italipuka vita za kidini kila mtu aabudu atakavyo asivuke mipaka ya kudharau dini au Imani ya mwingine it is non of his or her bussiness.Nabii wetu Mahela serikali imwachilie.Waziri Lugola acha kuanzisha chokochoko za kidini
Wizi mtupu, mfuate taratibu basi aacha kubugudhi watu wengine kwa kisingizio cha kuubiri neno la Mungu wakati lengo ni kufanikisha maisha.
 
Back
Top Bottom