Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amepatwa na nini?

Kama ni bei ya dunia utanaka kutuambia toka msimu wa pamba bei haijaongezeka kwenye soko la dunia? Peleka ukuwadi wenu wa marabu koko ya dpworld kwenye makorido ya lumumba.
Wewe hata unachokisoma hukielewi, nani kaandika "bei ya dunia"?

Upo duni sana. Kanisome tena uelewe nilichokiandika.
 
Samaki aliyefumba mdomo hawezi kushikwa kwa Ndoano
 
Wewe hata unachokisoma hukielewi, nani kaandika "bei ya dunia"?

Upo duni sana. Kanisome tena uelewe nilichokiandika.
Viongozi sehemu ambazo wao ni wauzaji bei zinapanda balaa eg mafuta, ila sehemu ambazo viongozi ni wanunuzi bei zinashuka kwa kasi au kudumaa palepale, eg korosho na pamba!!
 
Kama ni bei ya dunia utanaka kutuambia toka msimu wa pamba bei haijaongezeka kwenye soko la dunia? Peleka ukuwadi wenu wa marabu koko ya dpworld kwenye makorido ya lumumba.
Hivi kaka elimu Yako ipo sahihi au ni kubishana tu. Demand ya pamba imeshuka duniani hii ni kwa sababu nchi za ulimwengu zinatengeneza nguo kwa kutumia synthetic material, kwahiyo hizo material zimefanya demands ya pamba kuwa ndogo na hivyo bei kushuka.
 
Viongozi sehemu ambazo wao ni wauzaji bei zinapanda balaa eg mafuta, ila sehemu ambazo viongozi ni wanunuzi bei zinashuka kwa kasi au kudumaa palepale, eg korosho na pamba!!
Sasa mwaka huu ipo ishara ya korosho kupanda, kwa sababu ya demand duniani kuwa kubwa. Kampuni nyingi tayari zina oda kubwa, kwa mfano Kuna kampuni Moja siitaji jina ina oda ya takiribani tan 55,000 za korosho zilizobanguliwa ambazo zinamfanya ahitaji robo tatu ya korosho ghafi zote za tz. Sasa unazani akienda mnadani atakubali akose? Akikosa Si ana waangusha wateja wake waliompa oda. Na akiwaangusha Si watahamia kwenye kampuni nyingine. Hiyo ni kampuni Moja tu. Na je hizo nyingine. Maana zimesajili nyingi tu.
 
Hii ni shida lakini hawalioni kama ni tatizo katika wizara husika. Yupo kwa ajili ya njaa yake tu.
 
Hivi kaka elimu Yako ipo sahihi au ni kubishana tu. Demand ya pamba imeshuka duniani hii ni kwa sababu nchi za ulimwengu zinatengeneza nguo kwa kutumia synthetic material, kwahiyo hizo material zimefanya demands ya pamba kuwa ndogo na hivyo bei kushuka.
Sasa kwa nini mnaendelea kuwahamasisha watu kulima pamba huku mkijua hamna demand?
 
Sasa mwaka huu ipo ishara ya korosho kupanda, kwa sababu ya demand duniani kuwa kubwa. Kampuni nyingi tayari zina oda kubwa, kwa mfano Kuna kampuni Moja siitaji jina ina oda ya takiribani tan 55,000 za korosho zilizobanguliwa ambazo zinamfanya ahitaji robo tatu ya korosho ghafi zote za tz. Sasa unazani akienda mnadani atakubali akose? Akikosa Si ana waangusha wateja wake waliompa oda. Na akiwaangusha Si watahamia kwenye kampuni nyingine. Hiyo ni kampuni Moja tu. Na je hizo nyingine. Maana zimesajili nyingi tu.
Waulize Mtwara wameuza shs ngapi korosho
 
Viongozi sehemu ambazo wao ni wauzaji bei zinapanda balaa eg mafuta, ila sehemu ambazo viongozi ni wanunuzi bei zinashuka kwa kasi au kudumaa palepale, eg korosho na pamba!!

Tusiongee kijinga, tuwekee bei ya pamba Tanzania, nchi za jirani na duniani, tulinganishe.

Kama hutoweza, kaa kimya.

Tanzania toka ipate uhuru na hata kabla yahapo, hakuna program iliyolenga kumtarisha Mtanzania kama program ya mama Samia ya BBT. Kumbuka hilo.

Imelenga kwa makusudi kabisa kuwatajirisha wakulima wa Tanzania. Haijawahi kutokea.
 
Hata Corona ilijaa kila sehemu lakini Tanzania tulikuwa na jibu letu.

Tanzania haiwezi kuwa nchi ya kukopi na kupesti hata mambo ya kijinga kutoka nchi zingine ~~~~JPM
 
Waulize Mtwara wameuza shs ngapi korosho
Hawajauza bado, Mimi nipo huku na ndio kwanza tunavuna na Wala hatujafika katakati ya msimu wa mavuno. Maghala yatafunguliwa October 1. Sasa hiyo bei unaitaka ya mwaka upi? Labda mwaka uliopita.
 
Sasa kwa nini mnaendelea kuwahamasisha watu kulima pamba huku mkijua hamna demand?
Wewe umelazimishwa, umebebewa mtutu ukaambuwa lazima ulime pamba. Kwanini usilime mazao mengine ambayo yapo sokoni.
 
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amepatwa na nini? Mbona Bashe wa kabla ya kuteuliwa kuwa waziri alikuwa machachari sana kuliko huyu wa sasa?
Mazao yote makubwa chini yake yameanguka bei ,pamba, korosha hali ni mbaya.
kwenye tumbaku wakulima hawajalipwa hadi leo!!!kila siku ni ahadi na ngonjera zisizo isha kabisa.
Bashe wa leo yuko bize kutetea wafanyabiashara tu ambao ni matajiri tayari na hata asipowatetea hawawezi kufa na njaa, na kuacha wananchi masikini ambao usipowatetea wanatembea bila viatu.

Kitu ambacho hakijui Rais Samia au anakijua lakini ameamua kukaa kimya ni mawaziri wake kugeuka wafanyabiashara wakubwa sana. Ukiona mafuta yameadimika sababu kubwa ni kwamba viongozi wa hiyo wizara ndiyo wamiliki wa vituo vya mafuta kwa hiyo hata yakifichwa ili yapande bei hawaoni shida, pia ukiona mazao ya kilimo hayapandi bei ujue wanunuzi wakubwa wa hayo mazao ni haohao mawaziri wa rais Samia!.
Viongozi sehemu ambazo wao ni wauzaji bei zinapanda balaa eg mafuta, ila sehemu ambazo viongozi ni wanunuzi bei zinashuka kwa kasi au kudumaa palepale, eg korosho na pamba!!
Kikubwa kama alivyosema lissu ukiwa kiongozi na mfanyabiashara lazima kutakuwa na mgongano wa maslahi
 
Hata Corona ilijaa kila sehemu lakini Tanzania tulikuwa na jibu letu.

Tanzania haiwezi kuwa nchi ya kukopi na kupesti hata mambo ya kijinga kutoka nchi zingine ~~~~JPM
NNT uliiona wapi kwengine duniani? Nchi gani duniani zaidi ya Tanzania imetangaza na kuweka mikakati ya kutajirisha vijana wake kwa makusudi kabisa na inafanya hivyo kwa vitendo siyo maneno.

Kwa uchache, vijana kwa malaki kutajirishwa kwa makusudi kabisa na serikali yao na wameshaanza, zaidi ya vijana 500 ndani ya muda mfupi wameshaanza kutajirishwa kwa makusdio kanisa, washindwe wenyewe tu.

Haijawahi kutokea duniani. Mpaka dunia imeyaona hayo ndani ya muda mfupi sana,, nchi zaidi ya 70 duniani zipo Tanzania tayari kujifunza wanawezawezaje Tanzania.

Unayajuwa hayo?
 
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amepatwa na nini? Mbona Bashe wa kabla ya kuteuliwa kuwa waziri alikuwa machachari sana kuliko huyu wa sasa?
Mazao yote makubwa chini yake yameanguka bei ,pamba, korosha hali ni mbaya.
kwenye tumbaku wakulima hawajalipwa hadi leo!!!kila siku ni ahadi na ngonjera zisizo isha kabisa.
Bashe wa leo yuko bize kutetea wafanyabiashara tu ambao ni matajiri tayari na hata asipowatetea hawawezi kufa na njaa, na kuacha wananchi masikini ambao usipowatetea wanatembea bila viatu.

Kitu ambacho hakijui Rais Samia au anakijua lakini ameamua kukaa kimya ni mawaziri wake kugeuka wafanyabiashara wakubwa sana. Ukiona mafuta yameadimika sababu kubwa ni kwamba viongozi wa hiyo wizara ndiyo wamiliki wa vituo vya mafuta kwa hiyo hata yakifichwa ili yapande bei hawaoni shida, pia ukiona mazao ya kilimo hayapandi bei ujue wanunuzi wakubwa wa hayo mazao ni haohao mawaziri wa rais Samia!.
Viongozi sehemu ambazo wao ni wauzaji bei zinapanda balaa eg mafuta, ila sehemu ambazo viongozi ni wanunuzi bei zinashuka kwa kasi au kudumaa palepale, eg korosho na pamba!!
Hili la viongozi kujigeuza wafanyabiashara ni hatari sana kwa nchi. Kila mbunge na waziri anafanya biashara tena zile zenye kuingialiana moja kwa moja na nafasi zao. Hata nchi za Mgaharibi zenye ubepari hawafanyi kiholela hivi. Samia hana IQ ya kuongoza nchi kwa kuangalia mambo kwa upana na urefu.
 
Back
Top Bottom