Chukua jembe ukalime acha malalamikoHii ni shida lakini hawalioni kama ni tatizo katika wizara husika. Yupo kwa ajili ya njaa yake tu.
Alafu mbolea yenyewe ni feki alafu haipatikaniNimemdharau Bashe kwenye suala la MBOLEA. Wakulima wengi walijiamdikisha kupata MBOLEA ya ruzuku toka mwaka Jana hadi Leo hakuna kitu. Msimu wa kilimo uliopita wengine walilazimika kununua MBOLEA hiyo hivyo ya ruzuku kwa sh 100,000/- kwa mfuko wa kg 50 badala sh 70,000/- toka kwa wakulima wenzao waliofanikiwa kujisajili. Huu ni upuuzi uliosababishwa na Bashe.
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amepatwa na nini? Mbona Bashe wa kabla ya kuteuliwa kuwa waziri alikuwa machachari sana kuliko huyu wa sasa? Mazao yote makubwa chini yake yameanguka bei ,pamba, korosha hali ni mbaya.
Kwenye tumbaku wakulima hawajalipwa hadi leo!!! Kila siku ni ahadi na ngonjera zisizo isha kabisa. Bashe wa leo yuko bize kutetea wafanyabiashara tu ambao ni matajiri tayari na hata asipowatetea hawawezi kufa na njaa, na kuacha wananchi masikini ambao usipowatetea wanatembea bila viatu.
Kitu ambacho hakijui Rais Samia au anakijua lakini ameamua kukaa kimya ni mawaziri wake kugeuka wafanyabiashara wakubwa sana. Ukiona mafuta yameadimika sababu kubwa ni kwamba viongozi wa hiyo wizara ndiyo wamiliki wa vituo vya mafuta kwa hiyo hata yakifichwa ili yapande bei hawaoni shida, pia ukiona mazao ya kilimo hayapandi bei ujue wanunuzi wakubwa wa hayo mazao ni haohao mawaziri wa rais Samia!.
Viongozi sehemu ambazo wao ni wauzaji bei zinapanda balaa eg mafuta, ila sehemu ambazo viongozi ni wanunuzi bei zinashuka kwa kasi au kudumaa palepale, eg korosho na pamba!!
No, wataoweza kuathiriwa na uchawa ni raia wa kawaida tu - vigogo siagi, maziwaSasa hawa chawa si watammaliza damu?
Hao SATO si mchangaLast time Niko Njombe kuvizia kuwekeza naambiwa maparachichi yametupwa mtoni tani kibao kwenye mto wakati Canada pakee ni soko tosha la parachichi za hass.Maana yangu ni Kwamba wanapelekwa vijana Islael wakati masoko hayajulikani na uongezaji wa thamani ni hovyo,hivi kweli parachichi za Hass ni za kupimwa kwa vindoo na sado kwa ubora wake,hata kwa kuzisambzaa mitaani tuu ifakara na Mwanza tuu zitaliwa zote,Huyu waziri wa mbolea fake sijui kaponaje hapa kwa Dotto Biteko makamu waziri mkuu.Majariwa mbona Irani imeahidi kusaka masoko kila kona ya dunia,Ulaya yote avocado zinatoka,china tuu wanataka Sana maparachichi.Then,kwanini tuna.gesi na bado mnatulipua mtungi mdogo Shilng 26,000/- hii ni haki kweli.
Nimezunguka ziwa Victoria kwa kiasi kikubwa vitaru vya kuzalisha samaki sijaona,hivi sato ni kuuzwa 14,000/- kwa kilo,naomba Tuwe serious.Sato wawe wengi mpaka wapemee,nchi hii tunataka iwazidi majirani.wote kwa ubora wa maisha.
Ukiwa na cheo ni mtaji mkubwa, hizi ni fursa ambazo wanaambiana wao kwa wao
Nakumbuka kuna mkuu wa wilaya mmoja yeye kutwa kukimbizana na watu tu na kesi zisizoisha na kufunga watu tu
Mwisho mkuu wa Mkoa akamwambia utakufa masikini achana nao nunua mazoa jikite kwenye biashara mda ndio huu
Hutakiwa kuongea wala kupiga kelele ukiwa mezani "high table" unakula na wakuu.Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amepatwa na nini? Mbona Bashe wa kabla ya kuteuliwa kuwa waziri alikuwa machachari sana kuliko huyu wa sasa? Mazao yote makubwa chini yake yameanguka bei ,pamba, korosha hali ni mbaya.
Kwenye tumbaku wakulima hawajalipwa hadi leo!!! Kila siku ni ahadi na ngonjera zisizo isha kabisa. Bashe wa leo yuko bize kutetea wafanyabiashara tu ambao ni matajiri tayari na hata asipowatetea hawawezi kufa na njaa, na kuacha wananchi masikini ambao usipowatetea wanatembea bila viatu.
Kitu ambacho hakijui Rais Samia au anakijua lakini ameamua kukaa kimya ni mawaziri wake kugeuka wafanyabiashara wakubwa sana. Ukiona mafuta yameadimika sababu kubwa ni kwamba viongozi wa hiyo wizara ndiyo wamiliki wa vituo vya mafuta kwa hiyo hata yakifichwa ili yapande bei hawaoni shida, pia ukiona mazao ya kilimo hayapandi bei ujue wanunuzi wakubwa wa hayo mazao ni haohao mawaziri wa rais Samia!.
Viongozi sehemu ambazo wao ni wauzaji bei zinapanda balaa eg mafuta, ila sehemu ambazo viongozi ni wanunuzi bei zinashuka kwa kasi au kudumaa palepale, eg korosho na pamba!!
Inasikitisha sanaViongozi wanafanyakazi kulingana na interest za viongozi wakuu.Mfano Hayati Jpm alionesha dhamira ya dhati kwamba anapingana na ubadhilifu,ufisadi na kuwatetea wanyonge hayo yalitosha kufunika mabaya mengine kama yalikuwepo.
Lakini ndugu yangu Leo unamshuhudia waziri anaiba lakini utamwambia nani? Maana huyo wa kumwambia ametoa ruhusa ya kuiba kwa urefu wa kamba yako.
Tenda za michongo zimerudi kwa kasi,Malipo hewa na malipo ya michongo imeongezeka kuliko wakati wowote,migodi imekuwa shamba la Bibi.Rushwa imetapakaa kuanzia ngazi ya kitongoji mpaka taifa.CAG wa michongo hawezi kugusa hivi unajua malipo haramu yaliyozuiwa na JPM yote yamelipwa kwa michongo? Lazima tuanze upya ili kurejesha ustawi wa wananchi lakini pia turejeshe hofu kwa Mungu bila hivyo tusubiri kutawaliwa upya katika ukoloni mambo Leo.
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amepatwa na nini? Mbona Bashe wa kabla ya kuteuliwa kuwa waziri alikuwa machachari sana kuliko huyu wa sasa? Mazao yote makubwa chini yake yameanguka bei ,pamba, korosha hali ni mbaya.
Kwenye tumbaku wakulima hawajalipwa hadi leo!!! Kila siku ni ahadi na ngonjera zisizo isha kabisa. Bashe wa leo yuko bize kutetea wafanyabiashara tu ambao ni matajiri tayari na hata asipowatetea hawawezi kufa na njaa, na kuacha wananchi masikini ambao usipowatetea wanatembea bila viatu.
Kitu ambacho hakijui Rais Samia au anakijua lakini ameamua kukaa kimya ni mawaziri wake kugeuka wafanyabiashara wakubwa sana. Ukiona mafuta yameadimika sababu kubwa ni kwamba viongozi wa hiyo wizara ndiyo wamiliki wa vituo vya mafuta kwa hiyo hata yakifichwa ili yapande bei hawaoni shida, pia ukiona mazao ya kilimo hayapandi bei ujue wanunuzi wakubwa wa hayo mazao ni haohao mawaziri wa rais Samia!.
Viongozi sehemu ambazo wao ni wauzaji bei zinapanda balaa eg mafuta, ila sehemu ambazo viongozi ni wanunuzi bei zinashuka kwa kasi au kudumaa palepale, eg korosho na pamba!!
Mkuu nilitaka nilime mwaka huu lakini nimeona ni upuuzi na nusu.Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amepatwa na nini? Mbona Bashe wa kabla ya kuteuliwa kuwa waziri alikuwa machachari sana kuliko huyu wa sasa? Mazao yote makubwa chini yake yameanguka bei ,pamba, korosha hali ni mbaya.
Kwenye tumbaku wakulima hawajalipwa hadi leo!!! Kila siku ni ahadi na ngonjera zisizo isha kabisa. Bashe wa leo yuko bize kutetea wafanyabiashara tu ambao ni matajiri tayari na hata asipowatetea hawawezi kufa na njaa, na kuacha wananchi masikini ambao usipowatetea wanatembea bila viatu.
u ambacho hakijui Rais Samia au anakijua lakini ameamua kukaa kimya ni mawaziri wake kugeuka wafanyabiashara wakubwa sana. Ukiona mafuta yameadimika sababu kubwa ni kwamba viongozi wa hiyo wizara ndiyo wamiliki wa vituo vya mafuta kwa hiyo hata yakifichwa ili yapande bei hawaoni shida, pia ukiona mazao ya kilimo hayapandi bei ujue wanunuzi wakubwa wa hayo mazao ni haohao mawaziri wa rais Samia!.