Chuck j JF-Expert Member Jun 17, 2011 2,358 815 Dec 6, 2016 #1 Mh. Waziri wa Kazi tunaomba uanze kupita katka marestaurant na mahoteli ya Dar uone wafanyakazi wanavyonyanyaswa na kunyimwa haki zao. Mbali na hilo kuna wageni wengi wameajiriwa kuliko wenyeji.
Mh. Waziri wa Kazi tunaomba uanze kupita katka marestaurant na mahoteli ya Dar uone wafanyakazi wanavyonyanyaswa na kunyimwa haki zao. Mbali na hilo kuna wageni wengi wameajiriwa kuliko wenyeji.
ArchAngel JF-Expert Member Oct 11, 2015 4,516 3,753 Dec 6, 2016 #3 Dindira said: Amehamia Dodoma. Mtajiju Click to expand... duh.. jibu kavu
M Mangi flani hivi JF-Expert Member Jan 2, 2016 2,026 3,100 Dec 6, 2016 #4 Watanzania acheni kulalamika. Hizi kazi mkienda huko Ulaya ndo mnapoponea lakini wakifanya wenzenu makelele meeengi.
Watanzania acheni kulalamika. Hizi kazi mkienda huko Ulaya ndo mnapoponea lakini wakifanya wenzenu makelele meeengi.
B BINTI MBAULA Member Oct 16, 2016 42 18 Dec 6, 2016 #5 Aende kiwanda cha nondo na mabati MM steel aone, mpk wahesabu nondo ni wahindi.Nachoka kabisa