Waziri wa Kazi pita mahotelini uone unyanyasaji

Chuck j

JF-Expert Member
Jun 17, 2011
2,358
815
Mh. Waziri wa Kazi tunaomba uanze kupita katka marestaurant na mahoteli ya Dar uone wafanyakazi wanavyonyanyaswa na kunyimwa haki zao.

Mbali na hilo kuna wageni wengi wameajiriwa kuliko wenyeji.
 
Watanzania acheni kulalamika. Hizi kazi mkienda huko Ulaya ndo mnapoponea lakini wakifanya wenzenu makelele meeengi.
 
20161206_080458.png
 
Back
Top Bottom