Waziri wa Kazi pita mahotelini uone unyanyasaji


Chuck j

Chuck j

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2011
Messages
2,285
Likes
590
Points
280
Chuck j

Chuck j

JF-Expert Member
Joined Jun 17, 2011
2,285 590 280
Mh. Waziri wa Kazi tunaomba uanze kupita katka marestaurant na mahoteli ya Dar uone wafanyakazi wanavyonyanyaswa na kunyimwa haki zao.

Mbali na hilo kuna wageni wengi wameajiriwa kuliko wenyeji.
 
Dindira

Dindira

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2016
Messages
2,635
Likes
2,838
Points
280
Dindira

Dindira

JF-Expert Member
Joined Nov 10, 2016
2,635 2,838 280
Amehamia Dodoma. Mtajiju
 
M

Mangi flani hivi

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2016
Messages
2,030
Likes
3,012
Points
280
Age
34
M

Mangi flani hivi

JF-Expert Member
Joined Jan 2, 2016
2,030 3,012 280
Watanzania acheni kulalamika. Hizi kazi mkienda huko Ulaya ndo mnapoponea lakini wakifanya wenzenu makelele meeengi.
 
B

BINTI MBAULA

Member
Joined
Oct 16, 2016
Messages
43
Likes
17
Points
15
Age
48
B

BINTI MBAULA

Member
Joined Oct 16, 2016
43 17 15
Aende kiwanda cha nondo na mabati MM steel aone, mpk wahesabu nondo ni wahindi.Nachoka kabisa
 

Forum statistics

Threads 1,275,229
Members 490,947
Posts 30,536,252