Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,028
- 59,657
Kama kapuya ambaye wanaye bungeni kila siku wamemshindwa sembuse huyu ambaye yuko mbali kijijini?
Waziri wa jinsia na watoto si ni yule kada maarufu wa chama chetu cha mshikamano; na Kingozi wa Jumuia ya wanawake wa CCM - inasikitisha sana kweli kwa jambo hili wanawake mnatosana wenyewe kwa wenyewe.
Na uzuri zaidi mnae pia Madam Spika wa Bunge letu tukufu mwanamama pia, sasa kwa hili tunapata wasiwasi juu ya kauli mbiu yenu mnapenda kuitamka kila mara kwamba "Wanawake Tunaweza". Tungetemea mambo kama haya na mengine yanayovuma mitandaoni juu ya uyanyasaji wa wanawake na watoto mngeyashughulikia wa umoja wenu kama wafanyavyo wanawake wa nchi nyingine duniani.
Tunapata wasiwasi mkubwa juu ya mshikamano wenu. Mnaruhusu mfumo DUME uendelee kutawala? kama jinsi mnavyoona wanawake wanavyoteswa, kupewa vilema vya maisha, kubakwa, kuuawa, kudharauliwa, kunyanyaswa- just because ni wanawake na nyie mpo mnakula bata tu Bungeni - hasa nyie wabunge viti maalum.
huyu joyce ndiyo yule mmewake anamwagia watu tindikali ukiolewa na mwizi lazima usaidie kuiba na ukiolewa na mwagia watu tindikali lazima na wewe uwe unamwagia watu tindikali ndivyo alivyo joice kwa sasa.
huyu joyce ndiyo yule mmewake anamwagia watu tindikali ukiolewa na mwizi lazima usaidie kuiba na ukiolewa na mwagia watu tindikali lazima na wewe uwe unamwagia watu tindikali ndivyo alivyo joice kwa sasa.
Very Bad...!
Very Bad...!
Yule Mwenyekiti wa UWT!
Sijawahi kumsikia Sophia Lion akikemea haya, really too sad! Watu wanajichukulia sheria mokononi
wewe siyo mzima una matatizo sijui tindikali imekujaje hapahuyu joyce ndiyo yule mmewake anamwagia watu tindikali ukiolewa na mwizi lazima usaidie kuiba na ukiolewa na mwagia watu tindikali lazima na wewe uwe unamwagia watu tindikali ndivyo alivyo joice kwa sasa.
huyu joyce ndiyo yule mmewake anamwagia watu tindikali ukiolewa na mwizi lazima usaidie kuiba na ukiolewa na mwagia watu tindikali lazima na wewe uwe unamwagia watu tindikali ndivyo alivyo joice kwa sasa.
Haiwezekani Wanawake wafanyiwe unyama huu wakati tuna Wizara tena inayosimamiwa na Wanawake wenzetu! Haiwezekani Wanawake tunafanyiwa unyama mkubwa kama huu na wengine kuuwawa kikatili na Wanawake viongozi/wabunge wamepiga kimya!
Haiwezekani hata kidogo! Kwa matukio kama haya nilitegemea Wabunge Wanawake wawe wamoja na ikiwezakana watoke nje ya bunge ili sheria kali zitungwe na pia Kampeni kubwa sana ifanyike nchi nzima ya kutokomeza unyama huu dhidi ya Wanawake...
Kama Waziri yupo kimya, Wabunge Wanawake Je?
Umoja wenu TWPG unafanya kazi gani ya maana kuliko maisha na Usalama wa Wanawake wemzenu? Haya matukio yakiwatokea ninyi je, mtaendelea kuwa kimya?
Unyama huu umefanyika mwezi wa nane huko kijiji cha Nyantira Tarime Mara.
Ajabu ni kwamba baadhi yetu tumekuwa tukiwasifu ndugu zetu wa Mara hasa wanaume kwamba ni kawaida sana mambo haya wao kufanya, badala ya kukemea tunawasifu. Najua hata hapa kwenye uzi huu tutawasifu kwa ukatili huu wa kutisha.
Wakati mwingine wanawake tunaona hatupo salama kama ambavyo wengi mnadai Tanzania tuna Amani! Kwa habari zaidi bonyeza www.wanawakelivetv.com
naomba radhi kwa picha za kutisha....