Joyce Kiria
Member
- Aug 6, 2013
- 50
- 112
Haiwezekani Wanawake wafanyiwe unyama huu wakati tuna Wizara tena inayosimamiwa na Wanawake wenzetu! Haiwezekani Wanawake tunafanyiwa unyama mkubwa kama huu na wengine kuuwawa kikatili na Wanawake viongozi/wabunge wamepiga kimya!
Haiwezekani hata kidogo! Kwa matukio kama haya nilitegemea Wabunge Wanawake wawe wamoja na ikiwezakana watoke nje ya bunge ili sheria kali zitungwe na pia Kampeni kubwa sana ifanyike nchi nzima ya kutokomeza unyama huu dhidi ya Wanawake...
Kama Waziri yupo kimya, Wabunge Wanawake Je?
Umoja wenu TWPG unafanya kazi gani ya maana kuliko maisha na Usalama wa Wanawake wemzenu? Haya matukio yakiwatokea ninyi je, mtaendelea kuwa kimya?
Unyama huu umefanyika mwezi wa nane huko kijiji cha Nyantira Tarime Mara.
Ajabu ni kwamba baadhi yetu tumekuwa tukiwasifu ndugu zetu wa Mara hasa wanaume kwamba ni kawaida sana mambo haya wao kufanya, badala ya kukemea tunawasifu. Najua hata hapa kwenye uzi huu tutawasifu kwa ukatili huu wa kutisha.
Wakati mwingine wanawake tunaona hatupo salama kama ambavyo wengi mnadai Tanzania tuna Amani! Kwa habari zaidi bonyeza Wanawakelive TV | Wanawake na Maendeleo
naomba radhi kwa picha za kutisha....
huyu joyce ndiyo yule mmewake anamwagia watu tindikali ukiolewa na mwizi lazima usaidie kuiba na ukiolewa na mwagia watu tindikali lazima na wewe uwe unamwagia watu tindikali ndivyo alivyo joice kwa sasa.

...ina maana kwa kuwa wewe umeolewa na gaidi na wewe ni gaidi kama mumeo Mwigu? au wewe ni nyumba ndogo?huyu joyce ndiyo yule mmewake anamwagia watu tindikali ukiolewa na mwizi lazima usaidie kuiba na ukiolewa na mwagia watu tindikali lazima na wewe uwe unamwagia watu tindikali ndivyo alivyo joice kwa sasa.
wewe ------ hazikutoshihuyu joyce ndiyo yule mmewake anamwagia watu tindikali ukiolewa na mwizi lazima usaidie kuiba na ukiolewa na mwagia watu tindikali lazima na wewe uwe unamwagia watu tindikali ndivyo alivyo joice kwa sasa.
huyu joyce ndiyo yule mmewake anamwagia watu tindikali ukiolewa na mwizi lazima usaidie kuiba na ukiolewa na mwagia watu tindikali lazima na wewe uwe unamwagia watu tindikali ndivyo alivyo joice kwa sasa.
huyu joyce ndiyo yule mmewake anamwagia watu tindikali ukiolewa na mwizi lazima usaidie kuiba na ukiolewa na mwagia watu tindikali lazima na wewe uwe unamwagia watu tindikali ndivyo alivyo joice kwa sasa.
badala ya kutetea au kuzumgumzia alichokiwakilisha hapa unaongea mambo ambayo hayapo na hayahusiani na mada
Au kwa kuwa huyo waziri ni wa chama chako basi hata kwenye ukweli au utetezi huwezi kuongea lolote
Muda mwingine tetea mada iliyo kwenye thread na sio kuleta masuala ya chama hata mahali ambapo hakuna uchama au usipotaja CDM hupati ujira wako
huyu joyce ndiyo yule mmewake anamwagia watu tindikali ukiolewa na mwizi lazima usaidie kuiba na ukiolewa na mwagia watu tindikali lazima na wewe uwe unamwagia watu tindikali ndivyo alivyo joice kwa sasa.
Vipi unajua kuwa unaongea na Robot? Hayo ni Marobot ya Lumumba linajibu kutokana na jinsi walivyoriseti..