waziri wa jinsia uko wapi?

waziri wa jinsia uko wapi?

Joyce Kiria

Member
Joined
Aug 6, 2013
Posts
50
Reaction score
112
Haiwezekani Wanawake wafanyiwe unyama huu wakati tuna Wizara tena inayosimamiwa na Wanawake wenzetu! Haiwezekani Wanawake tunafanyiwa unyama mkubwa kama huu na wengine kuuwawa kikatili na Wanawake viongozi/wabunge wamepiga kimya!

Haiwezekani hata kidogo! Kwa matukio kama haya nilitegemea Wabunge Wanawake wawe wamoja na ikiwezakana watoke nje ya bunge ili sheria kali zitungwe na pia Kampeni kubwa sana ifanyike nchi nzima ya kutokomeza unyama huu dhidi ya Wanawake...

Kama Waziri yupo kimya, Wabunge Wanawake Je?

Umoja wenu TWPG unafanya kazi gani ya maana kuliko maisha na Usalama wa Wanawake wemzenu? Haya matukio yakiwatokea ninyi je, mtaendelea kuwa kimya?

Unyama huu umefanyika mwezi wa nane huko kijiji cha Nyantira Tarime Mara.

Ajabu ni kwamba baadhi yetu tumekuwa tukiwasifu ndugu zetu wa Mara hasa wanaume kwamba ni kawaida sana mambo haya wao kufanya, badala ya kukemea tunawasifu. Najua hata hapa kwenye uzi huu tutawasifu kwa ukatili huu wa kutisha.

Wakati mwingine wanawake tunaona hatupo salama kama ambavyo wengi mnadai Tanzania tuna Amani! Kwa habari zaidi bonyeza www.wanawakelivetv.com

naomba radhi kwa picha za kutisha....
 
Attachments

  • IMG_20131115_134159.jpg
    IMG_20131115_134159.jpg
    34.3 KB · Views: 436
  • c30454ab-ab0e-4baf-883e-c286c39a4477.jpg
    c30454ab-ab0e-4baf-883e-c286c39a4477.jpg
    28.7 KB · Views: 401
  • 47afbf5a-f306-475b-8edf-f5d5d98279c8.jpg
    47afbf5a-f306-475b-8edf-f5d5d98279c8.jpg
    24.4 KB · Views: 371
  • 24a52856-e7da-4578-b9c2-e313f020529e.jpg
    24a52856-e7da-4578-b9c2-e313f020529e.jpg
    42.1 KB · Views: 367
  • 4c8b27c5-4dde-4669-ab1b-c6de3a56f302.jpg
    4c8b27c5-4dde-4669-ab1b-c6de3a56f302.jpg
    46.1 KB · Views: 342
Waziri wa jinsia na watoto si ni yule kada maarufu wa chama chetu cha mshikamano; na Kingozi wa Jumuia ya wanawake wa CCM - inasikitisha sana kweli kwa jambo hili wanawake mnatosana wenyewe kwa wenyewe.

Na uzuri zaidi mnae pia Madam Spika wa Bunge letu tukufu mwanamama pia, sasa kwa hili tunapata wasiwasi juu ya kauli mbiu yenu mnapenda kuitamka kila mara kwamba "Wanawake Tunaweza". Tungetemea mambo kama haya na mengine yanayovuma mitandaoni juu ya uyanyasaji wa wanawake na watoto mngeyashughulikia wa umoja wenu kama wafanyavyo wanawake wa nchi nyingine duniani.

Tunapata wasiwasi mkubwa juu ya mshikamano wenu. Mnaruhusu mfumo DUME uendelee kutawala? kama jinsi mnavyoona wanawake wanavyoteswa, kupewa vilema vya maisha, kubakwa, kuuawa, kudharauliwa, kunyanyaswa- just because ni wanawake na nyie mpo mnakula bata tu Bungeni - hasa nyie wabunge viti maalum.
 
Haiwezekani Wanawake wafanyiwe unyama huu wakati tuna Wizara tena inayosimamiwa na Wanawake wenzetu! Haiwezekani Wanawake tunafanyiwa unyama mkubwa kama huu na wengine kuuwawa kikatili na Wanawake viongozi/wabunge wamepiga kimya!

Haiwezekani hata kidogo! Kwa matukio kama haya nilitegemea Wabunge Wanawake wawe wamoja na ikiwezakana watoke nje ya bunge ili sheria kali zitungwe na pia Kampeni kubwa sana ifanyike nchi nzima ya kutokomeza unyama huu dhidi ya Wanawake...

Kama Waziri yupo kimya, Wabunge Wanawake Je?

Umoja wenu TWPG unafanya kazi gani ya maana kuliko maisha na Usalama wa Wanawake wemzenu? Haya matukio yakiwatokea ninyi je, mtaendelea kuwa kimya?

Unyama huu umefanyika mwezi wa nane huko kijiji cha Nyantira Tarime Mara.

Ajabu ni kwamba baadhi yetu tumekuwa tukiwasifu ndugu zetu wa Mara hasa wanaume kwamba ni kawaida sana mambo haya wao kufanya, badala ya kukemea tunawasifu. Najua hata hapa kwenye uzi huu tutawasifu kwa ukatili huu wa kutisha.

Wakati mwingine wanawake tunaona hatupo salama kama ambavyo wengi mnadai Tanzania tuna Amani! Kwa habari zaidi bonyeza Wanawakelive TV | Wanawake na Maendeleo

naomba radhi kwa picha za kutisha....

huyu joyce ndiyo yule mmewake anamwagia watu tindikali ukiolewa na mwizi lazima usaidie kuiba na ukiolewa na mwagia watu tindikali lazima na wewe uwe unamwagia watu tindikali ndivyo alivyo joice kwa sasa.
 
Sad indeed!!!!!

Nadhani hili sio la wanawake tu hata wanaume tuseme hapana kwa unyama huu aisee!!!!!
Huyu mtu si ana babu,baba (wadogo kwa wakubwa),makaka,wajomba!!!!!!!!!

Rais,waziri mkuu,mwanasheria mkuu,IGP,DPP jamani hawa wote wamsubiri huyo mama!!!!!
 
huyu joyce ndiyo yule mmewake anamwagia watu tindikali ukiolewa na mwizi lazima usaidie kuiba na ukiolewa na mwagia watu tindikali lazima na wewe uwe unamwagia watu tindikali ndivyo alivyo joice kwa sasa.

Bad enough wanawema wanazidi kuuawa wakiacha fikra zinazoishi wakati kuna mijitu inayoendelea kuishi huku imekufa kifikra kama wewe...unamattack bi Joyce kwani kaleta habari za CDM hapa ama anazungumzia ukatili kwenye jamii?
 
huyu joyce ndiyo yule mmewake anamwagia watu tindikali ukiolewa na mwizi lazima usaidie kuiba na ukiolewa na mwagia watu tindikali lazima na wewe uwe unamwagia watu tindikali ndivyo alivyo joice kwa sasa.

Mkuu mbona kama umekurupuka sana
soma vizuri habari pia tazama picha
unajua suala hili ni la kusikitisha sana

Yaani viongozi kama wako likizo vile
usishutumu mtu wakati mleta mada yuko sawa.
 
huyu joyce ndiyo yule mmewake anamwagia watu tindikali ukiolewa na mwizi lazima usaidie kuiba na ukiolewa na mwagia watu tindikali lazima na wewe uwe unamwagia watu tindikali ndivyo alivyo joice kwa sasa.
...ina maana kwa kuwa wewe umeolewa na gaidi na wewe ni gaidi kama mumeo Mwigu? au wewe ni nyumba ndogo?
 
huyu joyce ndiyo yule mmewake anamwagia watu tindikali ukiolewa na mwizi lazima usaidie kuiba na ukiolewa na mwagia watu tindikali lazima na wewe uwe unamwagia watu tindikali ndivyo alivyo joice kwa sasa.

Pole vp hukupata muda kidogo wa kutafakari kabla ya kuweka huu uchafu? Inakera sana kwa kweli.
 
huyu joyce ndiyo yule mmewake anamwagia watu tindikali ukiolewa na mwizi lazima usaidie kuiba na ukiolewa na mwagia watu tindikali lazima na wewe uwe unamwagia watu tindikali ndivyo alivyo joice kwa sasa.

badala ya kutetea au kuzumgumzia alichokiwakilisha hapa unaongea mambo ambayo hayapo na hayahusiani na mada
Au kwa kuwa huyo waziri ni wa chama chako basi hata kwenye ukweli au utetezi huwezi kuongea lolote
Muda mwingine tetea mada iliyo kwenye thread na sio kuleta masuala ya chama hata mahali ambapo hakuna uchama au usipotaja CDM hupati ujira wako
 
Jamani jamani huu ni nyama wa hali ya juu.. Joyce Kiria Tanzania hatuna Wizara hiyo. Labda kama unamaanisha Wizara ya mipasho.
 
Last edited by a moderator:
badala ya kutetea au kuzumgumzia alichokiwakilisha hapa unaongea mambo ambayo hayapo na hayahusiani na mada
Au kwa kuwa huyo waziri ni wa chama chako basi hata kwenye ukweli au utetezi huwezi kuongea lolote
Muda mwingine tetea mada iliyo kwenye thread na sio kuleta masuala ya chama hata mahali ambapo hakuna uchama au usipotaja CDM hupati ujira wako

Vipi unajua kuwa unaongea na Robot? Hayo ni Marobot ya Lumumba linajibu kutokana na jinsi walivyoriseti..
 
huyu joyce ndiyo yule mmewake anamwagia watu tindikali ukiolewa na mwizi lazima usaidie kuiba na ukiolewa na mwagia watu tindikali lazima na wewe uwe unamwagia watu tindikali ndivyo alivyo joice kwa sasa.

We Robot hili sio jibu lake... Mwambie boss wako akuseti vizuri.
 
Vipi unajua kuwa unaongea na Robot? Hayo ni Marobot ya Lumumba linajibu kutokana na jinsi walivyoriseti..

Mkuu Alinda wanabore sana na kukera
Issue haihusiani na vyama hapa ni utetezi kwa wanawake wanaonyanyaswa yeye anaingiza personal attack kwa mleta mada bila hata kuchangia kile alicholeta
Hata ukisetiwa sometime angalia unapost wapi
Mwanamke kakatwa mguu hapo na wapo wanawake wengi wanaoteswa na kuonewa ila hii Wizara nafikiri ni ya wanawake wa Dar tuu tena wasomi na wale wa ofisini sio ya akina mama lishe na wauza vitumbua na mandazi, imekaa kimya wala haishughulikii matatizo ya wanawake kama hawa
Sasa hilo robot badala ya hata ya kumtetea au kumuona huyo mama alivyopata mateso anazungumzia masuala ya CDM
 
Last edited by a moderator:
huyu joyce ndiyo yule mmewake anamwagia watu tindikali ukiolewa na mwizi lazima usaidie kuiba na ukiolewa na mwagia watu tindikali lazima na wewe uwe unamwagia watu tindikali ndivyo alivyo joice kwa sasa.

Nakusikitikia sana unatumika bila kujijua nafkiri ingekuwa nduguyo kakubwa na maswaiba hayo usingeongea maneno hayo
 
Back
Top Bottom