Waziri wa fedha Mahututi

acha kukariri mkuu, dr mvungi (r.i.p) akiwa south Africa iliripotiwa kuwa mahututi ......kilichofuata baadae ilikuwa ni pigo kwa tume nzima ya mabadiliko ya katiba na mpaka leo hatuna hakika pengo lake limezibwaje!!!


kwa hiyo ndugu gastone unataka kutuaminisha kwamba MAHUTUTI == NIAGIENI?
 
Kwa nini yuko south Africa?? kwani hapa nchini hatuna hospitals??? usaliti uko hivyo ngoja afie huko, mbona mandela alilala SA kwa miezi na miezi.
 

Huyu si mgonjwa ana laana ya excise duty on money transfers, hii haitamtoka mpaka afute hii kodi ya kipumbavu.
 
Tumwombee apone haraka ili aje afanye kazi ila kichwa cha habari yako si kizuri maana mtu kuwa mahtuti si sawa na mtu kuwa na hali mbaya.
Hicho ndio kichwa cha habari kwenye gazeti lenyewe.

Mimi nime-copy na ku-paste hiyo heading.

Kama vipi wasiliana na mhariri wa gazeti.
 
Apone haraka arudi kuendeleza uchumi wa nchi hao ndo rasilimali watu hapa Tz.
Kwa imani namwombea apone haraka mh. Mgimwa.
 
Kwani ulitaka nani abebeshwe hizo gharama?Kwenye issue ya ugonjwa usiweke siasa.Ungefurahia kusikia kiongozi wako tena waziri wa fedha anaomba mchango wa kwenda kupewa matibabu???

anatakiwa afe kabisa....namwomba mungu amchukue...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…