TANZIA Waziri wa Fedha, Dkt. Willliam Mgimwa afariki dunia!

TANZIA Waziri wa Fedha, Dkt. Willliam Mgimwa afariki dunia!

Poleni sana ndg zetu. Tuko pamoja! Serikali ilikuwa kimya hata kutujulisha kinachoendelea hakuna,magazeti yamekomalia Zitto na Mbowe!
 
mbona atuoni hii habari kwenye media.

Media unajua maana yake? JF ni media pia! Hizo media unazoziamini zinacopy humu ndio zinaenda ku-confirm then ndio wanatoa breakin newz baaba hata ya saa kupita we angalia ITV watakuja kuitoa Breakin news saa kumi alasiri.
 
Iliwahi kuvuma hapo nyuma kipindi ya Krismas, so ninasubiri reliable source kuhusu hili!
 
Pumzika kwa Amani
Ya Duniani umemaliza Dr MGIMWA


Mungu ni Mwema
 
Naskia kule bagamoyo mlingotini kuna foleni kubwa sana ya V8...R.I.P dr japo ulikua miongoni mwao walio potoka ie magamba...
 
R.I.P W.Mgimwa,Poleni wafiwa,Mwenyezi Mungu amlaze mahali pema peponi.Amen!
 
mungu ailaze roho ya marehemu alukoipangia Amen
 
Poleni sana wafiwa na wanyalukolo wote wa jimbo la kalenga.
 
Back
Top Bottom